Kiboko ya Wachawi aonekana DR Congo, awatambishia Watanzania kuwa anakula maisha. Asema amemisi zile laki tano za kiingilio

Kiboko ya Wachawi aonekana DR Congo, awatambishia Watanzania kuwa anakula maisha. Asema amemisi zile laki tano za kiingilio

Yule mshenzi alimpiga dada yangu laki 5 hivi hivi daaah inauma sana

1724117142948.png

1724117184664.png
 
Baada ya serikali kulifungia Kanisa la Christian Life Church linaloongozwa na Mchungaji Domique Kashoix Dibwe maarufu Kiboko ya Wachawi, sasa mlinzi wake maarufu Mwarabufighter1 ameposti video kwenye mtandao wa kijamii akiwa na Mchungaji Dibwe Lubumbashi nchini Kongo.

Chanzo: Nipashe Tanzania

Na alivyo na Dharau na Nyodo katika hiyo Video yake anasema msiwe na wasiwasi anakula Maisha huko Congo DR.
Genta tusikumbushane machungu......let by gones be by gones.
 
Mwanangu kabisa(mshikaji) nae kapigwa kipumbavu 2milioni.

Kuja kusanuka anatuambia tukabaki tunacheka na kumuone huruma.

Ila hasira za kuchekwa alienda kumuashia dude nabii akamrudishia 1milion
Hahaaaaaa
 
Hakuna nabii tapeli ukianza kufungia makanisa itakulazimu uzuie na matumizi ya biblia mana ukisoma biblia sadaka ni nyingi sana kasome agano la kale mwisho utajua hujui unachokizuia ni vile tu wabongo always huwa wanataka mambo marahisi hawataki kusoma neno wanataka tu miujiza
Alichokuwa anafanya sio sadaka ni wizi wa wazi ? Mbona nyie watu wengine mnatushangaza mpo dunia gani kwani.?
 
Back
Top Bottom