gammaparticles
JF-Expert Member
- Jan 9, 2024
- 1,407
- 3,855
Yule mshenzi alimpiga dada yangu laki 5 hivi hivi daaah inauma sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yule mshenzi alimpiga dada yangu laki 5 hivi hivi daaah inauma sana
Pole sana 😁Yule mshenzi alimpiga dada yangu laki 5 hivi hivi daaah inauma sana
Genta tusikumbushane machungu......let by gones be by gones.Baada ya serikali kulifungia Kanisa la Christian Life Church linaloongozwa na Mchungaji Domique Kashoix Dibwe maarufu Kiboko ya Wachawi, sasa mlinzi wake maarufu Mwarabufighter1 ameposti video kwenye mtandao wa kijamii akiwa na Mchungaji Dibwe Lubumbashi nchini Kongo.
Chanzo: Nipashe Tanzania
Na alivyo na Dharau na Nyodo katika hiyo Video yake anasema msiwe na wasiwasi anakula Maisha huko Congo DR.
Wewe alikulamba / alikupiga Tsh ngapi?Genta tusikumbushane machungu......let by gones be by gones.
Mrangi bana. Nakujua kwa kuwashangaa wabongo. Unasema tu acha wapigwePole
Ova
Nilishangaaga kuna midume inamtongoza MF hadi anakubali na kugongwa. Hadi nikaja kuamini Pdiddy alimtongozaga snoop dog hadi jamaa akakubali akamgonga. Duniani kuna watu wa ajabu sana.Naona yuko na wake zake akina Mwarabu fighter.
Wewe upo nje ya madaNilishangaaga kuna midume inamtongoza MF hadi anakubali na kugongwa. Hadi nikaja kuamini Pdiddy alimtongozaga snoop dog hadi jamaa akakubali akamgonga. Duniani kuna watu wa ajabu sana.
Inawezekana alitoa "kitu" zaidi ya hiyo laki 5 ila wewe kama kaka hujaambiwaYule mshenzi alimpiga dada yangu laki 5 hivi hivi daaah inauma sana
Siyo mshenzi ni mjanjaYule mshenzi alimpiga dada yangu laki 5 hivi hivi daaah inauma sana
Kuna wajinga wengi sanaMrangi bana. Nakujua kwa kuwashangaa wabongo. Unasema tu acha wapigwe
HahaaaaaaMwanangu kabisa(mshikaji) nae kapigwa kipumbavu 2milioni.
Kuja kusanuka anatuambia tukabaki tunacheka na kumuone huruma.
Ila hasira za kuchekwa alienda kumuashia dude nabii akamrudishia 1milion
Huyu kiboko ya wachawi zamani alikuwa anauza sana vipodozi kimagendo,tena zile zilizopigwa marufukuMrangi bana. Nakujua kwa kuwashangaa wabongo. Unasema tu acha wapigwe
Watu wamepigwa 😄 sanaWewe alikulamba / alikupiga Tsh ngapi?
Alichokuwa anafanya sio sadaka ni wizi wa wazi ? Mbona nyie watu wengine mnatushangaza mpo dunia gani kwani.?Hakuna nabii tapeli ukianza kufungia makanisa itakulazimu uzuie na matumizi ya biblia mana ukisoma biblia sadaka ni nyingi sana kasome agano la kale mwisho utajua hujui unachokizuia ni vile tu wabongo always huwa wanataka mambo marahisi hawataki kusoma neno wanataka tu miujiza
😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅 nimecheka sana
Dada yako kwanini alimpatia laki 5?????Yule mshenzi alimpiga dada yangu laki 5 hivi hivi daaah inauma sana