Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baada ya serikali kulifungia Kanisa la Christian Life Church linaloongozwa na Mchungaji Domique Kashoix Dibwe maarufu Kiboko ya Wachawi, sasa mlinzi wake maarufu Mwarabufighter1 ameposti video kwenye mtandao wa kijamii akiwa na Mchungaji Dibwe Lubumbashi nchini Kongo.
Chanzo: Nipashe Tanzania
Na alivyo na Dharau na Nyodo katika hiyo Video yake anasema msiwe na wasiwasi anakula Maisha huko Congo DR.
Wajinga ndio waliwao.Yule mshenzi alimpiga dada yangu laki 5 hivi hivi daaah inauma sana
Haiumi bhanaYule mshenzi alimpiga dada yangu laki 5 hivi hivi daaah inauma sana
AmelaaniwahuyuuBaada ya serikali kulifungia Kanisa la Christian Life Church linaloongozwa na Mchungaji Domique Kashoix Dibwe maarufu Kiboko ya Wachawi, sasa mlinzi wake maarufu Mwarabufighter1 ameposti video kwenye mtandao wa kijamii akiwa na Mchungaji Dibwe Lubumbashi nchini Kongo.
Chanzo: Nipashe Tanzania
Na alivyo na Dharau na Nyodo katika hiyo Video yake anasema msiwe na wasiwasi anakula Maisha huko Congo DR.
Bora ampige hela kagongaa sanaa maadada na wake za watuHaiumi bhana
JamiiForums bhana... Kila mtu anapiga kuanzia vitatu na kuendelea😂😂😂😂 mkuu wewe unapiga vingapi?vile vile miti hawezi kupiga kashajichokea viwili tu analala.
Nchi si wamejaa mazzHii ina
Hii inaonyesha ni kwa kiwango gani serikali ya Tanzania ilivyo lala uzingizi wa kufa. Yaani mtu kutoka hapo Congo tu anakuja anaanzisha kanisa la kitapeli anajitangaza kwenye vyombo vya habari . Anatapeli watanzania kwa miaka mingi . Serikali haina habari kabisa. Sasa Ebu ni ambie kama utapeli wa kiwango hicho unawezekana kwenye sector ya dini? Je kwenye nyaja za biashara ni makampuni mangapi yanafanya biashara za utapeli au yanazalisha bidhaa fake au yanahamisha hela nje ya nchi huku yakiacha watanzania kwenye umasikini na afya mbaya. It is sad.
Na wengine kawatsfunaWajinga ndiyo waliwao. Amekula hadi za Wajane, wamehonga viwanja na magari walioachiwa na marehemu waume zao wamebakia puu dadeq
B
Bora ampige hela kagongaa sanaa maadada na wake za watu
Ukweli huwa unatia ukakasiJamiiForums bhana... Kila mtu anapiga kuanzia vitatu na kuendelea😂😂😂😂 mkuu wewe unapiga vingapi?
Maneno yako yana ukakasi, ukizingatia ni maneno yanayotakiwa kusemwa na mwanamke, siyo wewe mwanaume. Unatia mashaka😂
Daah, baada ya kupigwa anasemaje dada yetu?Mimi hizi mambo hata siamini ni dada yangu alikuja kutoka arusha kafikia kwangu akiwa na majanga yake akesema anaenda kwa nabii kiboko ya wachawi huko buza, ndo atasaidika nilimkataza akaniambia mimi saivi ni mtoto wa shetani na atanisema kote kwenye ukoo na maombi juu nikaombewa nakwambia tv ilikuwa ni mwamposa mda wote nk: