Kiboko ya Wachawi aonekana DR Congo, awatambishia Watanzania kuwa anakula maisha. Asema amemisi zile laki tano za kiingilio

Kiboko ya Wachawi aonekana DR Congo, awatambishia Watanzania kuwa anakula maisha. Asema amemisi zile laki tano za kiingilio

Baada ya serikali kulifungia Kanisa la Christian Life Church linaloongozwa na Mchungaji Domique Kashoix Dibwe maarufu Kiboko ya Wachawi, sasa mlinzi wake maarufu Mwarabufighter1 ameposti video kwenye mtandao wa kijamii akiwa na Mchungaji Dibwe Lubumbashi nchini Kongo.

Chanzo: Nipashe Tanzania

Na alivyo na Dharau na Nyodo katika hiyo Video yake anasema msiwe na wasiwasi anakula Maisha huko Congo DR.

Yule mshenzi alimpiga dada yangu laki 5 hivi hivi daaah inauma sana
Wajinga ndio waliwao.
 
Angekaa kimya wangemfikiria
Baada ya serikali kulifungia Kanisa la Christian Life Church linaloongozwa na Mchungaji Domique Kashoix Dibwe maarufu Kiboko ya Wachawi, sasa mlinzi wake maarufu Mwarabufighter1 ameposti video kwenye mtandao wa kijamii akiwa na Mchungaji Dibwe Lubumbashi nchini Kongo.

Chanzo: Nipashe Tanzania

Na alivyo na Dharau na Nyodo katika hiyo Video yake anasema msiwe na wasiwasi anakula Maisha huko Congo DR.

Amelaaniwahuyuu
 
MM ALINICHEKESHA SIKU MOJA NIKASEMA NIONE HII MIUJIZA NIKAONA WOTE TULIOPAKI MAGARI TUNAPOKELEWA TUNAWEKWA UPANDE WA KUSHOTO

SASA MM NA HAYAMAMBO SIKO KABSA NKASHINDANA NA MTUMISHI WAKE NKAJIKALIA KWA MASELA WENZANGU

BAADAE NKAKARIBISHWA OFISIN NKASEMA HEHEEE NKAMSIKILIZAAA AKASEMA FUNGA MACHO. MMMH NKAOGOPA AKASEMA DO IT GAFLA AKANIGOBGA NA MKONO MGONGON KAMA ANAPANDISHA TO SHINGON

NAONA ANAONYESHAAA GOLOLII KADAI ZIMETOKA BADO 2 NTAFUTE LAK 3 NKASEMA HAYA BABA KILA MOJA 150K AKASEMA HAIKUHUSU

NKATOKA NKACHOMOA BETRI LINE NKAWEKA SIMU KWA GARI KUWASHA KESHO YAKE

NAKUTA MSG KIBAO ZA KUNISISITIZA NJOO SAA 06AM NINA BARAKA ZAKO
MUNGU KANIONYESHA KKUNA WACHAWI WAKO TANGA WANEKUFUNGA PANGONI

NJO NA SADAKA YA LAK 200K KHA NKASEMA AKUNISAVE KASAHAU JANA AMETALA 300K


NKAMJIBU M N YULE UKITAKA LAK 3 NKAHAIDI MWISHO WA MWEZI NAKUJA UKASEMA SITOFIKA HAI NTAFYTE NDAN YA TAR 1 MPAKA 15..
.NAHISI ALIKIBLOCK MAANA NILIANDIKA HUKUNISAVE??LEO NAONA LAK 2
 
HAHAAA HIZI MSG ZILITREND SANAAA


YAAAN N KAMA SYSTEM MACHINE KAISET AKIKUSAVE KILA IKIFIKA SAA 05AM UNAPOKEA MSG



MUNGU KAMWAMBIA AMEKUONA UMEFUNGWA NA UCHAWI NA UGANGA TANGA KESHO YAKE ANABADILISHA MKOA AMA WILAYA MSG IILE ILE

HAHAAAA KIBOKO ...ANAKUONAAAA UJUEEEE

NA KUNA MADADAAA ASBH WANAJAZANA KWA LULENGE BUZA

.HIVI LULENGE N NANI HASWA ALIJULIKANA GAFLA KITUO CHAKE

MUWE NA AKILI JAMAN MSISEME SHETANI KILA SIKU MNAMJAZIA DHAMBI

IMBENI UFAHAMU SIO KILA MAKANISA YA KUKIMBILIA
 
Hii ina

Hii inaonyesha ni kwa kiwango gani serikali ya Tanzania ilivyo lala uzingizi wa kufa. Yaani mtu kutoka hapo Congo tu anakuja anaanzisha kanisa la kitapeli anajitangaza kwenye vyombo vya habari . Anatapeli watanzania kwa miaka mingi . Serikali haina habari kabisa. Sasa Ebu ni ambie kama utapeli wa kiwango hicho unawezekana kwenye sector ya dini? Je kwenye nyaja za biashara ni makampuni mangapi yanafanya biashara za utapeli au yanazalisha bidhaa fake au yanahamisha hela nje ya nchi huku yakiacha watanzania kwenye umasikini na afya mbaya. It is sad.
Nchi si wamejaa mazz

Ova
 
Wajinga ndiyo waliwao. Amekula hadi za Wajane, wamehonga viwanja na magari walioachiwa na marehemu waume zao wamebakia puu dadeq
Na wengine kawatsfuna

Ova
 
JamiiForums bhana... Kila mtu anapiga kuanzia vitatu na kuendelea😂😂😂😂 mkuu wewe unapiga vingapi?

Maneno yako yana ukakasi, ukizingatia ni maneno yanayotakiwa kusemwa na mwanamke, siyo wewe mwanaume. Unatia mashaka😂
Ukweli huwa unatia ukakasi
 
Mimi hizi mambo hata siamini ni dada yangu alikuja kutoka arusha kafikia kwangu akiwa na majanga yake akesema anaenda kwa nabii kiboko ya wachawi huko buza, ndo atasaidika nilimkataza akaniambia mimi saivi ni mtoto wa shetani na atanisema kote kwenye ukoo na maombi juu nikaombewa nakwambia tv ilikuwa ni mwamposa mda wote nk:
Daah, baada ya kupigwa anasemaje dada yetu?
 
Back
Top Bottom