Poleni sana na msiba wa Kibonde.
Najaribu kuwaza, Kibonde ni MC wa masherehe mbali mbali. Kuna wakati tulitaka kumbook tukakuta imekuwa full booked kwa jumamosi za takribani miezi minne mbele.
Sasa najaribu kujiuliza, endapo marehemu alikuwa amepokea advance (kishika uchumba) kwaajili ya kuwa MC kwenye harusi za watu, je pesa hizo ndugu zake watarudisha? Waliolipa kwa Mpesa Tigo Pesa au bank atleast wapo salama. Je, vipi kwa waliolipa cash? Yani walionana na marehemu kisha wakalipa na hawakuandikishiana popote pale
Kwa uhodari na jina alilokuwa nalo Kibonde kwenye ushehereshaji basi yawezekana kabisa kuwa atakuwa amefariki na pesa nyingi za watu waliotoa advance.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Marehemu Ruge kapumzika kwa Sasa mada ni KibondeJamani tukjikite kuomboleza kwanza
Huwa tuna peleka mbele kipande hichoIla msibani si huwa kuna session ya kuita wadai na wadaiwa?
Hapo pia hoja ya ma-Mc kusajiliwa na kulipa kodi inapokuja yaani wanakuwa na ofisi kabisa kama anavyofanya yule mgogo Mc Pilipili kwa kuwa na kampuni yake na hata kama likitokea lolote basi wanaweza kumpa Mc mwingine. Ila navyojua wengi wa ma-MC huwa na umoja wao na inapotokea dharula huwa wanamleta MC mwingineNdio hapo watanzania tujifunze kusaini kwenye makaratasi hata pesa kidogo tunayolipa au kupokea. Makubaliano yanayohusu pesa bila kusaini mkataba iko siku utakula hasara.
Hii ya kuitana hadharani haiko sawa, mwingine anaweza akawa anamdai marehem lakini ile nguvu ya kujitokeza mbele ya watu ili apewe haki yake anaikosa na kuamua kuipotezea kishingo upandeNi Mara chache sana wanaodai wanatokea!
Kuna jamaa yangu mmoja kauzu kweli kuna msiba mmoja watu Wako makaburini pale waliposema Je kuna mtu mtu yoyote anayemdai marehemu jamaa aliibuka [emoji23]
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Alizikwa huyooo?aliyedaiwa 30mBABA TUPAC leo umeongea jambo la muhimu mno, niliwahi kumuuliza mchungaji mmoja kuhusu hii sheria ambayo inatumika na waislamu baada ya kifo waislamu sharia ni kuwa hakuna kuzika mpaka marehemu asafishwe madeni yake yote, ndio maana kabla ya kumsalia inatangazwa `waumini sasa tunaenda kumsalia ndugu yetu na kumuombea dua, lakini kabla ya hapo kama kuna mtu yoyote anamdai marehemu aje hapa amalizane na ndugu zake` siku moja pale ilala msikitini alijitokeza jamaa anamdai marehemu milioni 30 ikawa kimbembe. Jirani yangu mchungaji aliniambia hata kwao pia ipo hio ila sema huwa inamezwa na uombolezaji na hakuna anaekumbushia. Kama ndugu wa kibonge ama msiba mwengine wowote mlipieni marehemu madeni yake au mkubali kuyabeba kwenye shingo zenu ili ndugu aende kwa bwana akiwa msafi.
Mmmmh kwani siku hizi yapoIla msibani si huwa kuna session ya kuita wadai na wadaiwa?
Kuna jamaa yangu mmja kauzu alikuwa anaitwa mobby slotter alimdai marehemuNaonaga watu wanakaushaga.
Duuh alikuwa anamdai Billion Ngapi???Kuna jamaa yangu mmja kauzu alikuwa anaitwa mobby slotter alimdai marehemu
Aise watu wote wakabakia ahhhhh!
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Pesa haina ndungu wala hisia...