Stanley Mitchell II
JF-Expert Member
- Jul 2, 2018
- 970
- 1,323
Hiyo ni kua desperate sasa hivi harusi si inatakiwa iwe for family n friends?Huo utakuwa ni mchango wa rambirambi.
Concern yangu ni kwa watu ambao inabidi wahangaike kutafuta MC mpya kwa sherehe za karibuni.
Nyie maBush Lawyer bana....sasa Frustration si inaDischarge Contractual Obligations tuu???Hiyo inaitwa ..frustration of contract...hakuna deni hapo!
Mh! Sasa shughuli ya uMC si ya ku render "personal services" ..unawezaje kumpa mtu mc mwingine iwapo anamtaka MC fulani???Ma MC wana chama chao ukienda kwao unamalizia deni unapewa MC mwingine hawana shida,kuna MC alifariki walimfanyia hivyo
Hahah hawaezi kuelewa izo ishu maana ukikata life insurance watu wanadhani unamjambia mtu afe mapema!Ndio maana kuna bidhaa inaitwa Life Insurance. Ilitakiwa kama unampa Kibonde milioni mbili, then unaenda pale kwenye kampuni ya bima unamkatia bima ya maisha ili kama akifa, basi ulipwe pesa yako na bima...
wewe utakuwa mchaga tu, unawaza pesa badala ya kuomboleza na Kibonde mwenyewe hajazikwa!Poleni sana na msiba wa Kibonde.
Najaribu kuwaza, Kibonde ni MC wa masherehe mbali mbali. Kuna wakati tulitaka kumbook tukakuta imekuwa full booked kwa jumamosi za takribani miezi minne mbele.
Sasa najaribu kujiuliza, endapo marehemu alikuwa amepokea advance (kishika uchumba) kwaajili ya kuwa MC kwenye harusi za watu, je pesa hizo ndugu zake watarudisha? Waliolipa kwa Mpesa Tigo Pesa au bank atleast wapo salama. Je, vipi kwa waliolipa cash? Yani walionana na marehemu kisha wakalipa na hawakuandikishiana popote pale
Kwa uhodari na jina alilokuwa nalo Kibonde kwenye ushehereshaji basi yawezekana kabisa kuwa atakuwa amefariki na pesa nyingi za watu waliotoa advance.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona haijazungumziwa mali ambazo yeye anadai kwa watu mbalimbaliPoleni sana na msiba wa Kibonde.
Najaribu kuwaza, Kibonde ni MC wa masherehe mbali mbali. Kuna wakati tulitaka kumbook tukakuta imekuwa full booked kwa jumamosi za takribani miezi minne mbele.
Sasa najaribu kujiuliza, endapo marehemu alikuwa amepokea advance (kishika uchumba) kwaajili ya kuwa MC kwenye harusi za watu, je pesa hizo ndugu zake watarudisha? Waliolipa kwa Mpesa Tigo Pesa au bank atleast wapo salama. Je, vipi kwa waliolipa cash? Yani walionana na marehemu kisha wakalipa na hawakuandikishiana popote pale
Kwa uhodari na jina alilokuwa nalo Kibonde kwenye ushehereshaji basi yawezekana kabisa kuwa atakuwa amefariki na pesa nyingi za watu waliotoa advance.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Kawaulize Access Bank
BABA TUPAC leo umeongea jambo la muhimu mno, niliwahi kumuuliza mchungaji mmoja kuhusu hii sheria ambayo inatumika na waislamu baada ya kifo waislamu sharia ni kuwa hakuna kuzika mpaka marehemu asafishwe madeni yake yote, ndio maana kabla ya kumsalia inatangazwa `waumini sasa tunaenda kumsalia ndugu yetu na kumuombea dua, lakini kabla ya hapo kama kuna mtu yoyote anamdai marehemu aje hapa amalizane na ndugu zake` siku moja pale ilala msikitini alijitokeza jamaa anamdai marehemu milioni 30 ikawa kimbembe. Jirani yangu mchungaji aliniambia hata kwao pia ipo hio ila sema huwa inamezwa na uombolezaji na hakuna anaekumbushia. Kama ndugu wa kibonge ama msiba mwengine wowote mlipieni marehemu madeni yake au mkubali kuyabeba kwenye shingo zenu ili ndugu aende kwa bwana akiwa msafi.
Kuhusu kuwa misplaced ,Mtoa mada kaandika kama wanavyoandika watu wengine JF.issue haiepukiki ni swala la mda tuu msiba utaisha watu watarudi kwenye biashara na pesa zao.Watanzania wengi sijui darasani na maishani tunafaulu vipi. Aliyetoa mada Sio Mdai hata useme pesa aina hisia. Na angekuwa Mdai hapa Sio Mahali pake, so hoja yako kuwa pesa haina hisia Au undugu hapa ni misplaced. Ni dalili ya Watu walio frustrated, wivu, kupenda na kuombea mabaya wengine. Kilicho moyoni ndo humtoka mtu. It’s very sad
Kuwa strict kwenye business haimaanishi wewe si binadamuMaisha ni zaidi ya pesa!
Binadamu mwenzako amepoteza uhai, watoto wake, familia yake, wafanyakazi na marafiki wanamlilia, hata kuzikwa bado hajazikwa, wewe unachowaza ni uwezekano wa pesa za sherehe alizochukua kwamba zitapotea! Tujifunze kuwa na angalau chembe cha ubinadamu
Wewe ukichukua fedha ya watu na ukafariki tutanza kuuliza hayo mamilioni,hivi nawe unajiona una akili kweli,mbona benki zikifilisika na mabilioni hatusikii misemo ya kusema najaribu kuwaza,unawaza nini kaka,hata kama waliandikishiana,watadai maiti?Poleni sana na msiba wa Kibonde.
Najaribu kuwaza, Kibonde ni MC wa masherehe mbali mbali. Kuna wakati tulitaka kumbook tukakuta imekuwa full booked kwa jumamosi za takribani miezi minne mbele.
Sasa najaribu kujiuliza, endapo marehemu alikuwa amepokea advance (kishika uchumba) kwaajili ya kuwa MC kwenye harusi za watu, je pesa hizo ndugu zake watarudisha? Waliolipa kwa Mpesa Tigo Pesa au bank atleast wapo salama. Je, vipi kwa waliolipa cash? Yani walionana na marehemu kisha wakalipa na hawakuandikishiana popote pale
Kwa uhodari na jina alilokuwa nalo Kibonde kwenye ushehereshaji basi yawezekana kabisa kuwa atakuwa amefariki na pesa nyingi za watu waliotoa advance.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio hapo watanzania tujifunze kusaini kwenye makaratasi hata pesa kidogo tunayolipa au kupokea. Makubaliano yanayohusu pesa bila kusaini mkataba iko siku utakula hasara.
Watanzania wengi sijui darasani na maishani tunafaulu vipi. Aliyetoa mada Sio Mdai hata useme pesa aina hisia. Na angekuwa Mdai hapa Sio Mahali pake, so hoja yako kuwa pesa haina hisia Au undugu hapa ni misplaced. Ni dalili ya Watu walio frustrated, wivu, kupenda na kuombea mabaya wengine. Kilicho moyoni ndo humtoka mtu. It’s very sad
Poleni sana na msiba wa Kibonde.