Kibongo bongo ukinywa hizi pombe ni kama unaonekana mtu ambaye umefulia na umejikatia tamaa ya maisha

Kibongo bongo ukinywa hizi pombe ni kama unaonekana mtu ambaye umefulia na umejikatia tamaa ya maisha

Isenye

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2024
Posts
1,985
Reaction score
5,167
Kwa kifupi tu kibongobongo ukisema unywe hizi pombe, unaonekana ni mtu ambae ushakata ringi, unasubiri kujifia tu.
1. Balimi
2. Visungura
3. Double kick
4. Gongo
5. Plisner
6. Eagle
7. Komoni
8. Master
9. Highlife
10. Bingwa
11. Wanzuki
12. Ulanzi
13. Mbege
14. Komando
15. Doni
 
Hii inauzwa buku tu

IMG-20210315-WA0015.jpeg
 
Sasa kama hiyo kisungura, double kick, high life na Doni unakunywa sura unaikunja inakuwa ndogo kama kitumbua mpaka inashuka unafikiri mtu mwenye mfuko ulionona anaweza!!?

Hata hao wadau wa hizo ngumu kumeza siku mfuko ukichangamka huwa wana switch kwenda kwenye vilaini.....ni shida Tu
 
Kwa kifupi tu kibongobongo ukisema unywe hizi pombe, unaonekana ni mtu ambae ushakata ringi, unasubiri kujifia tu.
1. Balimi
2. Visungura
3. Double kick
4. Gongo
5. Plisner
6. Eagle
7. Komoni
8. Master
9. Highlife
10. Bingwa
11. Wanzuki
12. Ulanzi
13. Mbege
14. Komando
15. Doni
Wewe ni mtu wa Iringa weweee. Kamwene
 
Back
Top Bottom