Kibongo bongo ukinywa hizi pombe ni kama unaonekana mtu ambaye umefulia na umejikatia tamaa ya maisha

Kibongo bongo ukinywa hizi pombe ni kama unaonekana mtu ambaye umefulia na umejikatia tamaa ya maisha

Kwa kifupi tu kibongobongo ukisema unywe hizi pombe, unaonekana ni mtu ambae ushakata ringi, unasubiri kujifia tu.
1. Balimi
2. Visungura
3. Double kick
4. Gongo
5. Plisner
6. Eagle
7. Komoni
8. Master
9. Highlife
10. Bingwa
11. Wanzuki
12. Ulanzi
13. Mbege
14. Komando
15. Doni
Kati ya hizo kuna isiyo lewesha
 
Kwa kifupi tu kibongobongo ukisema unywe hizi pombe, unaonekana ni mtu ambae ushakata ringi, unasubiri kujifia tu.
1. Balimi
2. Visungura
3. Double kick
4. Gongo
5. Plisner
6. Eagle
7. Komoni
8. Master
9. Highlife
10. Bingwa
11. Wanzuki
12. Ulanzi
13. Mbege
14. Komando
15. Doni
Inaitwa Pilsner, si Plisner.
 
Huo nimtazamo wako mkuu ukija mkoa watanga haswa wilaya ya Muheza na viunga vyake pombe za asili yaani mnazi, pombe ya miwa (boha) na gongo nipombe zao za asiri huwaambii kitu bila kujali their social status
 
Kwa kifupi tu kibongobongo ukisema unywe hizi pombe, unaonekana ni mtu ambae ushakata ringi, unasubiri kujifia tu.
1. Balimi
2. Visungura
3. Double kick
4. Gongo
5. Plisner
6. Eagle
7. Komoni
8. Master
9. Highlife
10. Bingwa
11. Wanzuki
12. Ulanzi
13. Mbege
14. Komando
15. Doni
Hapo no. 4 be specific bwana, maana ya ndizi hata konyagi haioni ndani.
 
Back
Top Bottom