Kibongo bongo ukinywa hizi pombe ni kama unaonekana mtu ambaye umefulia na umejikatia tamaa ya maisha

Kibongo bongo ukinywa hizi pombe ni kama unaonekana mtu ambaye umefulia na umejikatia tamaa ya maisha

Mbege na ulazi umezikosea heshima sana Bora ungeweka banana
Kuna mwanangu nilikua napiga nae valuu tunaambiana twende tukatibu minyoo, safi safi fresh.

Siku moja tukaamiaa kwa Mzee Banana mixer Yeast, haa
Jamaa mixer na vijiti alidata 😁😁
 
Kwa kifupi tu kibongobongo ukisema unywe hizi pombe, unaonekana ni mtu ambae ushakata ringi, unasubiri kujifia tu.
1. Balimi
2. Visungura
3. Double kick
4. Gongo
5. Plisner
6. Eagle
7. Komoni
8. Master
9. Highlife
10. Bingwa
11. Wanzuki
12. Ulanzi
13. Mbege
14. Komando
15. Doni
Umefanya jambo la msingi sana kwa kutoiweka pombe yangu pendwa na mnazi!
 
Kwa kifupi tu kibongobongo ukisema unywe hizi pombe, unaonekana ni mtu ambae ushakata ringi, unasubiri kujifia tu.
1. Balimi
2. Visungura
3. Double kick
4. Gongo
5. Plisner
6. Eagle
7. Komoni
8. Master
9. Highlife
10. Bingwa
11. Wanzuki
12. Ulanzi
13. Mbege
14. Komando
15. Doni
Mtazamo wako kama kijana wa mjini.
 
Kwa kifupi tu kibongobongo ukisema unywe hizi pombe, unaonekana ni mtu ambae ushakata ringi, unasubiri kujifia tu.
1. Balimi
2. Visungura
3. Double kick
4. Gongo
5. Plisner
6. Eagle
7. Komoni
8. Master
9. Highlife
10. Bingwa
11. Wanzuki
12. Ulanzi
13. Mbege
14. Komando
15. Doni
Kumbe Mnazi uko poa?
 
Tukifulia tunapita humuhumu.

Enzi za makuzi yangu, tukifulia ile hali mbaya basi tunafanya donee tunanunua mzinga wa nyagi tunatia kwenye ulanzi.
Tunadumisha tamaduni kisasa.
Au mbege umix na castle inanoga sana 😹

Kuna siku nilikunywa Amarula nikaona hainogi, nikaiboost na konyagi ilikuwa tamu kinyama..!! 😋
 
Kama hizi ni mataptapu, ni pombe zipi ni high class?
 
Back
Top Bottom