Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Toa hasira mama tema sumu uwe huru.Huyu naye hana jipya, yeye na clouds yao wamepiga hela ndefu wapumbavu hao
Sawa bibi yanguToa hasira mama tema sumu uwe huru.
Hamtaki kuambiwa ukweliHuyu naye hana jipya, yeye na clouds yao wamepiga hela ndefu wapumbavu hao
Hamtaki kuambiwa ukweli
Ukweli gani?Hamtaki kuambiwa ukweli
Sasa Kipanya anahusikaje hapo?Huyu naye hana jipya, yeye na clouds yao wamepiga hela ndefu wapumbavu hao
Si kampuni moja? wewe umejuaje kama hahusiki?Sasa Kipanya anahusikaje hapo?
Clouds wao wana nyaraka zote za malipo. Wizara ndio hawana so Clouds hawakuiba chochote. Taratibu walizifuata.Si kampuni moja? wewe umejuaje kama hahusiki?
Kazi kushabikia unafiki usio na kichwa.Bado yule msanii wetu maarufu ajulikanaye kama kipanya amekuja na ushauri mzuri kwetu sisi woote wana mitandao.View attachment 1750788