Kibra ya Kwanza ni Yerusalem kwa Wayahudi na Wakristo - Quran

Hili jina umelipata wapi?

Acha uongo Waraqah hakuwahi kuwa Padre wala hakuwahi kuwa muumini wa kanisa la Roma

Unaongea tu vitu ambavyo hata huvijui
Ibrahimu wa Qurani baba yake ni Al-Azar
Kwa kiswahili ni Azariasi

Ibrahimu wa kwenye Torati ya Musa baba yake ni Tera

Hivyo basi ile Andiko linalosema mmepewa Imani ya Dini ile ile ya Ibrahimu ni yule mtoto wa Azariasi na sio wa Tera
Na huyo ndiye aliyejenga
Al-Kaaba inayotumika na nyie Waislamu:
Naye alikuwa Mwislamu kama Qurani inavyosema

Kwenye Torati ya Musa hakuna mtu aliyetajwa kuwa ni Ibrahimu mtoto wa Al-Azar:

Soma Tena hapo ulipo ninukuu ili uelewe zaidi:
 
Kwani kuna Mtu analilia Nabii Ibrahim awe mtoto wa huyo Tera?
 
Kwani kuna Mtu analilia Nabii Ibrahim awe mtoto wa huyo Tera?
Ibrahimu mtoto wa A-Azar ndiye aliye asisi kulisujudia lile jiwe jeusi la pale Maka;
Al-Aswadi
Ambalo mnaendelea kulisujudia na kulibusu Hadi hii Leo:
Kwani ndio mila yake mojawapo mnayo idumisha:
Msimchanganye na Ibrahimu mtoto wa Tera:
Hii ni kwa mujibu wa Qurani
 
Sisi hatusujudii jiwe rekebisha kauli halafu hizo habari za Ibrahim mtoto wa Tera mbona hazituhusu

Ila kusema kutahiri haikuwa sehemu ya mila ya Nabii Ibrahim na kwamba Mtume hajahimiza kutahiri huo ni uongo
 
Mungu wa wayahudi ndo mungu wa waarabu na watu wote.
Kilichotokea ni kuuondoa utume na unabii kutoka Kwa wayahudi kwenda Kwa waarabu.na hyo yote ni baada ya wayahudi kuwakataa mitume wao na kuwauwa.ndo mungu akabadili uongozi.
Wayahudi waliahidiwa atakuja mtume.cha ajabu mtume aliyekuja hakutoka kwao.huo ndo ugomvi na muhammad.walidhani kila mtume atakuwa wao.
 
Kwani Kuna Ibrahim wangapi?
 
Sisi hatusujudii jiwe rekebisha kauli halafu hizo habari za Ibrahim mtoto wa Tera mbona hazituhusu

Ila kusema kutahiri haikuwa sehemu ya mila ya Nabii Ibrahim na kwamba Mtume hajahimiza kutahiri huo ni uongo
Hivi
Ibrahim Tera
na
Ibrahimu Al-Azar

Ni mtu mmoja ?
 
Hivi
Ibrahim Tera
na
Ibrahimu Al-Azar

Ni mtu mmoja ?
Duh kumbe hujanielewa hata kimoja nilichoandika tangu nianze kukujibu ndio maana naona mambo ya kutahiri huyajadili wala mambo ya Waraqah na umeshikilia jambo la Ibrahim nani sijui
 
Kuna Ibrahimu Tera wa kwenye Torati
na
Ibrahimu Al-Azar wa kwenye
Qurani:
Na Ibrahimu Che-Mittoga ambaye ndio Mimi
Na Ibrahimu wengine wengi tu hata mtaani kwako wapo wengi tu
Kwani wewe mkristo una mfuata Ibrahim wa kwenye taurat?
 
Katika huyahudi wa kweli na ukristo wa kweli hakuna kibra ...hizo za kuelekea kibra ni ibada za shetani na kidunia siyo kumuabidu mungu katika roho na kweli..
 
Sisi hatusujudii jiwe rekebisha kauli halafu hizo habari za Ibrahim mtoto wa Tera mbona hazituhusu

Ila kusema kutahiri haikuwa sehemu ya mila ya Nabii Ibrahim na kwamba Mtume hajahimiza kutahiri huo ni uongo

Mnasujudu jiwe...
Mnalizunguka na kulibusu mkiwa hamjavaa nguo za ndan.

Ukitoa jiwe. Kule ndan ya box hakuna kitu.
 
Duh kumbe hujanielewa hata kimoja nilichoandika tangu nianze kukujibu ndio maana naona mambo ya kutahiri huyajadili wala mambo ya Waraqah na umeshikilia jambo la Ibrahim nani sijui
Nimekuta ubishi wengine wanasema Ibrahimu ndiye aliyejenga Al-Kaaba la pale Maka
Wengine wanabisha hiyo kauli:

Mimi ndio nimekuja kusema kuwa ni kweli Ibrahimu alijenga Al-Kaaba
Na alikuwa Mwislamu ambaye nyie mnaifuata Imani yake ya Uislamu
Na pia ni kweli Ibrahimu hakujenga Al-Kaaba wala hakuwa Mwislamu

Ndipo nilipo kuja kuwaelewesha kuwa wote mko sahihi tatizo mnawachanganya hao Akina Ibrahimu:
Yaani mnawazungumzia Akina Ibrahimu wawili tofauti kabisa
 
Hivi
Ibrahim Tera
na
Ibrahimu Al-Azar

Ni mtu mmoja ?

Na wanalazimisha kuwa Ishmael ndio Baba wa Waislam. Wakat Ishmael alihamia tu na akakuta waarabu. Na yeye Ishmael na Ibrahim hawakuanzisha dini wala kujenga alkaaba.
 
Basi kama ni hivyo ni watu gani uliwatuhumu kuwa msingi wao kuongea uongo katika ya hayo makundi mawili?
 
Unajua maana ya kusujudu?
unahisi sijui si ndio?.
Haya ww elewa unavyotaka. Ila haiondoi uhalisia kuwa Mnasujudu jiwe ili kuondoa dhambi.

Na lile jiwe limekuwa jeusi kwasababu ya dhambi za binadamu.

Anway. Ni juha pekee ndio anaamini hayo.
 
Na wanalazimisha kuwa Ishmael ndio Baba wa Waislam. Wakat Ishmael alihamia tu na akakuta waarabu. Na yeye Ishmael na Ibrahim hawakuanzisha dini wala kujenga alkaaba.
Sawa tufanye alikuta waarabu tayari je hakuanzisha kizazi chake hapo?
 
Basi kama ni hivyo ni watu gani uliwatuhumu kuwa msingi wao kuongea uongo katika ya hayo makundi mawili?
Mfano wale wanaobisha kuwa Ibrahimu hakujenga Al-Kaaba ya pale Maka na hakuliweka Jiwe Jeusi mnalolibusu na kwamba hakuwa ni Mwislamu
Hao ni kati hao Waongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…