Al-mukheef
JF-Expert Member
- Feb 2, 2025
- 8,442
- 10,464
Mbona mimi sijawahi kuona wala kusikia watu wanalisujudia hilo jiweunahisi sijui si ndio?.
Haya ww elewa unavyotaka. Ila haiondoi uhalisia kuwa Mnasujudu jiwe ili kuondoa dhambi.
Na lile jiwe limekuwa jeusi kwasababu ya dhambi za binadamu.
Anway. Ni juha pekee ndio anaamini hayo.
SijakuelewaMfano wale wanaobisha kuwa Ibrahimu hakujenga Al-Kaaba ya pale Maka na hakuliweka Jiwe Jeusi mnalolibusu na kwamba hakuwa ni Mwislamu
Hao ni kati hao Waongo
Sawa tufanye alikuta waarabu tayari je hakuanzisha kizazi chake hapo?n
Wewe umekuja huku umeshindwa kunipa jibu la swali langu ..itikadi za madhehebu zimetoka kwa Allah au Sunnah gani kutoka kwa mitume wa kale..?Basi kama ni hivyo ni watu gani uliwatuhumu kuwa msingi wao kuongea uongo katika ya hayo makundi mawili?
Huwez kukiri hili. Ila ndio uhalisia.Mbona mimi sijawahi kuona wala kusikia watu wanalisujudia hilo jiwe
Kimbia tu ila ukweli ni kwamba hujui maana ya kusujudu🤣🤣🤣
Naona unarukaruka tu hivi kati ya wakristo na waislamu kina nani wanajinasibu na dini ya wayahudi?tunajua mnajinasibu sana na Dini ya wayahudi. Kias cha kuchukua utabiri wa kwenye dini yao na kusema ili tabiri dini yenu.
Kitu ambacho sicho.
Narudia kukujibu hazijatoka kwa yeyote kati ya haoWewe umekuja huku umeshindwa kunipa jibu la swali langu ..itikadi za madhehebu zimetoka kwa Allah au Sunnah gani kutoka kwa mitume wa kale..?
Aliyeanzisha Dini ya Kiislamu na kujenga hiyo Al-Kaaba, yaani huyo wanayemzungumzia niNa wanalazimisha kuwa Ishmael ndio Baba wa Waislam. Wakat Ishmael alihamia tu na akakuta waarabu. Na yeye Ishmael na Ibrahim hawakuanzisha dini wala kujenga alkaaba.
Naona unarukaruka tu hivi kati ya wakristo na waislamu kina nani wanajinasibu na dini ya wayahudi?
Ikumbukwe wakristo wanatumia hadi kitabu cha wayahudi
Kuhusu kusujudu kubali tu kuwa umeshindwaHuwez kukiri hili. Ila ndio uhalisia.
Ni wap kwenye Quran Allah alimuambia Mohamed alibusu lile jiwe?.
Aliyeanzisha Dini ya Kiislamu na kujenga hiyo Al-Kaaba, yaani huyo wanayemzungumzia niNa wanalazimisha kuwa Ishmael ndio Baba wa Waislam. Wakat Ishmael alihamia tu na akakuta waarabu. Na yeye Ishmael na Ibrahim hawakuanzisha dini wala kujenga alkaaba.
nitashindwaje wakat ndio ukweli.Kuhusu kusujudu kubali tu kuwa umeshindwa
Kuhusu kukubusu ni katika hadith
Kuhusu Ibrahimu kujenga Al-Kaaba na Kuweka Jiwe Jeusi mnalolisujudia pale Maka, hapa Umekubali sioSijakuelewa
Ila mimi acha nikazanie point yangu kuwa wewe ni muongo maana umesema Waraqah alikuwa Padre na Mtume Muhammad hakuhimiza kutahiri
Vitabu vipi umewahi kusikia waislamu tunajinasibu na biblia mara mathayo sijui?Ngoja nimalizie sentesi.
Waislam wanajinasibu na dini ya wayahudi na wakristo.
Hadi vitabu vyao.
Umewahi kusikia waislamu wakiwaita mitume wa wakristo kuwa ni Mitume?Wanamuamini Mtume wa Kikristo na kumpa sifa kuliko mtume mwingne yoyote kwenye Quran.
Mtume yupi huyo Mathayo au Petro?Wanamuamini mtume wa Kikristo kwa atarud kwa mara ya pili..
Eeh si mwanadamuMtume wa Kiislam amekufa na habar yake imeishia hapo.
'Kibra" maana yake nini ? Bora mitaala ya elimu iboreshwe jamani.Neno Hijra maana yake ni Kuhama au kuondoka sehemu moja na kwenda nyingine.
Hijra ya Mtume Muhammad ya kutoka Makka kwenda Madina
Ilitokea mwaka 622 BK.
Mtume Muhammad alianza Uislamu Mwaka 610 BK.
Akiwa na umri wa miaka 40
Huu ndio mwaka Wahyi wa kwanza ulimshukia
Tukio lilitokea pangoni Hira, Makka.
Kwa kalenda ya Hijria
Ilikuwa miaka 13 kabla ya Hijra
(Ina maana ni 610 BK).
Mohamed akiondoka Makka kwenda Madina mwaka wa mwaka wa 1 Hijria .ukizingatia kalenda ya Kiislamu.
Ilikuwa ni hatua ya kisiasa, na aliondoka Makka kutokana na mateso na dhuluma za Quraysh.
Hivyo Mtume alienda Madina na kufungua jamii ya Kiislamu kule. (Ummah).
Baadae Mtume Muhammad alirudi Makka mwaka 630 BK , tukio linalojulikana kama Fathu Makka (Ukombozi wa Makka).
Huku akiongoza jeshi la Waislamu takriban askari 10,000.
Sanamu zilizokuwa ndani ya Kaaba zilivunjwa, na Makka rasmi ikawa kitovu cha Uislamu.
Na baada tu ya kuichukua Makka.
Kaboooom 💣💣💣 allah akashusha aya.
Qur’an 2:144
“Sifa kwa Allah aliyekufanya kuwa na mwelekeo wa moyo wako kwa ile nyumba (Kaaba) ulipo, na tulikufanya mwelekeo wa sala utakao pendelea. Nayo ndio hakika, na ni sawa kwa yeyote aliye miongoni mwa Waislamu…”
Hivyo mabadiliko yakafanya Kibla iwe Al kaaba Makka kutoka ilipokuwa awali (Bayt al-Maqdis- Jerusalemu).
Mtume alikufa Madina, katika nyumba yake, akiwa na umri wa miaka 63.
Kaburi lake lipo Masjid al-Nabawi, Madina hadi leo.
Pia Alikufa kabla wahyi wa Quran haujawekwa kama Kitabu Kimoja.
Na Ilichukuwa miaka 20 zaid Mbele kwa wanafunz wake wakusanye vipande vipande pamoja na simulizi za maswahaba walizohifadhi kichwan ili kukamilisha Quran.
Summary :-
- jamaa kapokea wahyi 610 BK. Akiwa Makka.
- akahama Makka 13 miaka mbele (yaan 622 Bk) kwaajili ya mateso ya wakureshi . Akiwa na maswahaba wake baadhi
- akarud kupigana Vita na waislam na kuichukua Makka na al kaaba mwaka 630 BK. Akiwa na wanajeshi elfu 10.
- akafa Madina 632BK.
HOJA:-
Kwa kipind chote kuanzia mwaka 610 BK hadi 630 BK waislam (hapa ni kabla ya kuichukua Makka) walikuwa wanaswali na kuabudu kuelekea Yerusalemu.
Tena bila Quran.
Yaani miaka 21 ya Utume wa Mohamed (kati ya 23 aliyojaliwa Utume) alikuwa anasali kuelekea Mji wa Kiyahudi na Wakristo.
Huku akitumia vitabu vyao kama reference kwasababu hakuwa na Kitabu cha kurefer.
Kumbuka pia miaka hii walikuwa wanafunga na kusali.
Hitimisho:-
Uislam umecopy Dini ya Kiyahudi/ Ukristo (vitabu ,visa na Mungu ) pamoja na kuchanganya Mila za Kikureshi.
(Kuabudu jiwe la Al kaaba, kulizunguka mara 7, kumtupia mawe shetani ,kufunga Ramadhan na Ashura -maana zilikuwepo kabla ya Mohamed na Uislam wake)
Jagina Covax Al-mukheef
Kisai
Nisahihisheni kama napotosha.
Kwa taarifa
CC
Ndugu zangu katika imani
hamis77
Dumas the terrible
Lwiva
Fortyseven
Hamatan
Unaongelea kusujudu au kulibusu?nitashindwaje wakat ndio ukweli.
Mnalisujudu jiwe.
Kwahiyo Quran haijawaambia mlibusu jiwe?.
kwann mnalibusu?.
Kusujudia jiwe nimekataaKuhusu Ibrahimu kujenga Al-Kaaba na Kuweka Jiwe Jeusi mnalolisujudia pale Maka, hapa Umekubali sio
Pia unakubali Muhamadi hakutahiriwa sio
Kuna siku nilikutajia Mitume 24 waliotajwa kwenye Quran pamoja na visa vyao.Naona unarukaruka tu hivi kati ya wakristo na waislamu kina nani wanajinasibu na dini ya wayahudi?
Ikumbukwe wakristo wanatumia hadi kitabu cha wayahudi
Wewe ni madhehebu ganiNarudia kukujibu hazijatoka kwa yeyote kati ya hao
Haya endelea kutangaza sijakujibu🤣
Nimekuuliza swali kuhusu Biblia umekimbia