Kibu arudisha pesa za kwenye account ya Simba

Kwani hao makocha na vilabu vya soka haviwafundisha sheria na kanuni za soka za dunia?

Atakuwa ni mjnga sana kama anajifanyia mambo kinyume na taratibu za soka, nijuavyo soka ina pesa nyingi sana na kwenye pesa hapakosi fitna na lazima kuna "cartels".

Asiwe mjinga, anaweza kutumika kijinga akidhani kuwa amepata kumbe amepatikana.
 
Hawa madogo huwa wanaendeshwa na mihemko. Ulilosema wakubwa kwenye soka lipo yeye hajui. Anaweza jichimbia kaburi na akapotea kabisa ktk soka. Wakiamua kumkomoa yeye ana cha kipoteza siyo Simba wala Yanga.

Inawezekana tu mtu mmoja akamshika masikio akawa anamwendesha. Na wachezaji asilimia 90 plus hawana Elimu.
 
kwanini hakurudisha once alipojua amepata mualiko wa kwenda huko, yani mpaka dunia imejua alipo, watu kuhoji na waajiri wake kumkataa kweupe ndio anarudisha pesa WTF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…