FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Mradi sheria zifatwe. Itendwe haki.We bibi acha unafiki. Kwa Fei si ulisema aachwe aende anakotaka?? Naye Kibu aachwe, asipangiwe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mradi sheria zifatwe. Itendwe haki.We bibi acha unafiki. Kwa Fei si ulisema aachwe aende anakotaka?? Naye Kibu aachwe, asipangiwe
Kwani hao makocha na vilabu vya soka haviwafundisha sheria na kanuni za soka za dunia?Nadhani ukosefu wa Elimu unachangia sana. Yaani kama ingekuwa hivi sijui kama kuna taasisi zingekuwepo hapa Duniani. Sijajua nani anamdanganya na kwa manufaa gani. Hii tabia ikiendelea ni hatari sana kwa soka letu. Kwamba mchezaji akijisikia tu anarudisha pesa analala mbele? Tutafika kweli?
kakosea pa kuweka R na L, alienda shule kusomea ujinga.Leo umenichekesha sana Magoma kakosea tena🤣🤣🤣
Hawa madogo huwa wanaendeshwa na mihemko. Ulilosema wakubwa kwenye soka lipo yeye hajui. Anaweza jichimbia kaburi na akapotea kabisa ktk soka. Wakiamua kumkomoa yeye ana cha kipoteza siyo Simba wala Yanga.Kwani hao makocha na vilabu vya soka haviwafundisha sheria na kanuni za soka za dunia?
Atakuwa ni mjnga sana kama anajifanyia mambo kinyume na taratibu za soka, nijuavyo soka ina pesa nyingi sana na kwenye pesa hapakosi fitna na lazima kuna "cartels".
Asiwe mjinga, anaweza kutumika kijinga akidhani kuwa amepata kumbe amepatikana.
Feisal alifanya kitu kama hichi na mlimtetea, ni matumaini yangu na kibu d mtakubaliana nae.Anarudisha pesa kama simba walinunua vitumbua kwake?
Hivi huko kwenye soka si kuna sheria na kanuni zake za kuvunja mikataba? Au ukirudisha tu pesa inakuwa umemaliza?
Wenye akili tulisema kipindi kile anachokifanya feisal ni uhuni mambumbumbu hawakutuelewa.Mzimu wa Feisali utalitafuna soka la bongo maamuzi yalifanyika ki mhemko sasa hivi yamekua reference
Ni kama vile siasa za kuunga mkono juhudi kati ya CCM na CHADEMAAnarudisha pesa kama simba walinunua vitumbua kwake?
Hivi huko kwenye soka si kuna sheria na kanuni zake za kuvunja mikataba? Au ukirudisha tu pesa inakuwa umemaliza?
HakikaTatizo kubwa tulilo nalo kama nchi ni UJINGA.
Kwa nini asiwe na hiyo bahati??Kama kafata sheria hana tatizo, kama hajafata sheria asifikiri atakuwa na bahati ya kuombewa na Rais kama ilivyotokea kwa Feitoto.
fei aliombewa kwasababu yeye na samia wanatoka nchi mojaKama kafata sheria hana tatizo, kama hajafata sheria asifikiri atakuwa na bahati ya kuombewa na Rais kama ilivyotokea kwa Feitoto.
Alisaini mkataba wakati anachukua hizo pesa??Kapata dharula,(changamoto) akiwa likizo ameamua kurudisha pesa ili watafute mchezaji mwingine kabla ya dirisha kufungwa, je kafanya vibaya?
alisaini au hakusaini mkataba??Kapata dharula,(changamoto) akiwa likizo ameamua kurudisha pesa ili watafute mchezaji mwingine kabla ya dirisha kufungwa, je kafanya vibaya?
Hata huyo Hersi aliye nyuma ya hii sarakasi naye hIli halitamuacha salama.kama anafanya mambo kinyume na sheria, anakuwa si muhini tu, ni mjinga, anaweza kujiharibia ajira yake.
Silioni tatizo hapo, nauona uzalendo.fei aliombewa kwasababu yeye na samia wanatoka nchi moja
Bahati ya nini?Kwa nini asiwe na hiyo bahati??