Kibu arudisha pesa za kwenye account ya Simba

Kibu arudisha pesa za kwenye account ya Simba

Nadhani ukosefu wa Elimu unachangia sana. Yaani kama ingekuwa hivi sijui kama kuna taasisi zingekuwepo hapa Duniani. Sijajua nani anamdanganya na kwa manufaa gani. Hii tabia ikiendelea ni hatari sana kwa soka letu. Kwamba mchezaji akijisikia tu anarudisha pesa analala mbele? Tutafika kweli?
Kwani hao makocha na vilabu vya soka haviwafundisha sheria na kanuni za soka za dunia?

Atakuwa ni mjnga sana kama anajifanyia mambo kinyume na taratibu za soka, nijuavyo soka ina pesa nyingi sana na kwenye pesa hapakosi fitna na lazima kuna "cartels".

Asiwe mjinga, anaweza kutumika kijinga akidhani kuwa amepata kumbe amepatikana.
 
Hawa madogo huwa wanaendeshwa na mihemko. Ulilosema wakubwa kwenye soka lipo yeye hajui. Anaweza jichimbia kaburi na akapotea kabisa ktk soka. Wakiamua kumkomoa yeye ana cha kipoteza siyo Simba wala Yanga.

Inawezekana tu mtu mmoja akamshika masikio akawa anamwendesha. Na wachezaji asilimia 90 plus hawana Elimu.
 
kwanini hakurudisha once alipojua amepata mualiko wa kwenda huko, yani mpaka dunia imejua alipo, watu kuhoji na waajiri wake kumkataa kweupe ndio anarudisha pesa WTF
 
Back
Top Bottom