Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hawataki kua na mawakala matokeo yake ndio hayo. yaleyale ya feitoto.Hizo pesa bora angejenga nyumba. Ukowa na kipaji hauhitaji kutumia nguvu nyingi alafu alivyo mshamba anahangaika mwenyewe badala kutumia mawakala😀 mbaya zaidi alivyo mshamba kasaini kabisa na timu alafu anatarajia kuna timu ingetoa mapesa kuuvunja😀😀😀
Aondoke nchini akaitangaze simbaKumsaidiaje
Wazushi haooo Simba wanavomlilia sasa!
Hiyo simba Ina kombe Gani la Africa mzee la kufanya ijulikane duniani zaidi ya kuishia kudharirishwa goli 5Simba ni lidude fulani hivi kuuubwa kuliko huyo kibu,yaani kama dini na muumini,au shule na mwanafunzi.
Simba inajulikaba dunia nzima,yenyewe ndio ya kumtangaza kibu and not othet wise
Kucheza ribo fainali zaidi ya mara tano its not a joke,kuna timu kubwa humu africa hazijafikia hiyo rekodi,mwaka 1993 alitinga fainali klabu bingwa dhidi ya stela abidjan,najua ulikuwa hujazaliwa.Hiyo simba Ina kombe Gani la Africa mzee la kufanya ijulikane duniani zaidi ya kuishia kudharirishwa goli 5
Wewe taja kombe Gani umechukua mpaka ujulikane duniani habari za kuanza kusema robo fainali ndio kombe hivi kumbe Africa Kuna kombe la robo fainali mara 3 unaulizwa umebeba ubingwa gani mpaka ujulikane unaleta habari za robo fainali unaakili timamu mzeeKucheza ribo fainali zaidi ya mara tano its not a joke,kuna timu kubwa humu africa hazijafikia hiyo rekodi,mwaka 1993 alitinga fainali klabu bingwa dhidi ya stela abidjan,najua ulikuwa hujazaliwa.
Ingia google utaonaWewe taja kombe Gani umechukua mpaka ujulikane duniani habari za kuanza kusema robo fainali ndio kombe hivi kumbe Africa Kuna kombe la robo fainali mara 3 unaulizwa umebeba ubingwa gani mpaka ujulikane unaleta habari za robo fainali unaakili timamu mzee
Kombe Gani umechukua wewe si shabiki wa hiyo timu uliyoisifia inajulika duniani na kigezo Cha kujulikana duniani ni makombe haya Ina kombe Gani hapa Africa zaidi ya kuchezea Gori 5Ingia google utaona
Kwani msaada aliopewa na Yanga haukutosha?Simba ni timu ya ajabu, walipaswa kumsaidia
HahahahHeading ina maelezo kuliko content.