Kiburi cha Polepole kimefika mwisho

Upuuzi mtupu, heri ukae kimya tu.
 
Hiyo paragraph ya pili inahitaji PhD mpaka uelewe kilichoandikwa

Anyway but me namkubali polepole anaongea ukweli na ana element za umagu
Sasa kama anaelement za dikteta Magu si akatawale huko kwa washenzi wenzie burundi. Atuachie nchi yetu ya wastaarabu.

Jinga sana hilo Chakubamga.
 
Mbona mambo Polepole anayo yaongelea ni kama yale ambayo Mh Spika kayaongelea kwa January kuhusu mikataba juu ya mambo ya nishati na bei za petrol au Mh VP aliyo muambia Waziri wa ulinzi kuwa akaishi na Wajeda kwa busara kubwa na sikio pana la kusikia maana Wanajeshi hawa ni watu wapole. Akaiachia hewani.
 
Yeye ni msukuma hivyo hakuna wa kumgusa
 
Wenezi ni wagumu kukubali mabadiliko hata Nape alipambana sana na mwendazake

Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
 
 
Huyu bwana mdogo ni mbangaizaji wa kawaida kama akina January Makamba, Makonda, Dk Bashiru, Mwigulu Nchemba, Nape Nnauye, Nchimbi, Ridhwan Kikwete na wengine wanaobebwa ima na majina ya baba zao au ukaribu na mwendazake ambao nao sasa si mali kitu
 
Reactions: Qwy
Hana tofauti yoyote na Mwanamke mwingine wa Viti maalumu
 
Mama alifanya vizuri kumpiga chini
 
Zamani nilifikiri yeye ni msomi. Nimesikia sasa mara mbili masomo yake. Moja kuhusu Virusi na chanjo, haelewi anachojadili. Alishangaa kusikia eti virusi vimebadilika tena, anaona haiwezekani. Basi si lazima kujua kila kitu, lakini kama umepita kwenye chuo unatakiwa kujua sehemu gani huelewi unahitaji kujifunza hivyo afadhali kunyamaza kwanza... Labda sisasa inaharibu elimu iliyowahi kupatikana?

Juzi somo lingine kuhusu "political economy". amejiandaa vibaya, alisomasoma tu notisi zake na kurudiarudia, hakuandaa Kiswahili chake . . . .
Basi, si msomi.
 
Bilionea Polepole hana wasiwasi wowote mabilioni yaliyotokana na 10% za manunuzi ya mamluki aliyohifadhi Rwanda yanamtosha kabisa , hivi kuna mtu anaamini bei ya Mwita Waitara ilikuwa mil 800 ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…