Zamani nilifikiri yeye ni msomi. Nimesikia sasa mara mbili masomo yake. Moja kuhusu Virusi na chanjo, haelewi anachojadili. Alishangaa kusikia eti virusi vimebadilika tena, anaona haiwezekani. Basi si lazima kujua kila kitu, lakini kama umepita kwenye chuo unatakiwa kujua sehemu gani huelewi unahitaji kujifunza hivyo afadhali kunyamaza kwanza... Labda sisasa inaharibu elimu iliyowahi kupatikana?
Juzi somo lingine kuhusu "political economy". amejiandaa vibaya, alisomasoma tu notisi zake na kurudiarudia, hakuandaa Kiswahili chake . . . .
Basi, si msomi.