Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
vipi kuna tetesi zozote kumhusu ? maana ccm hawachelewi kuloganaNaomba kuuliza, makamu wa rais yupo mzima na anaendelea na kazi vizuri?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
vipi kuna tetesi zozote kumhusu ? maana ccm hawachelewi kuloganaNaomba kuuliza, makamu wa rais yupo mzima na anaendelea na kazi vizuri?
Alilewa sifa za mwendazakeKatika fikra zake, Polepole anaamini yeye ni zaidi ya chama kilichompa ubunge viti maalum. Yeye ndiye Msomi na yeye ndiye Mbunge mkubwa wa chama na vilevile yeye ni mwenye pumzi ya chama anaweza kutikisa kwasasa.
Muombeeni Polepole, anapoeleka ni kubaya zaidi alipotoka yeye si katibu mwenezi wa chama kuondolewa ndani ya chama. Ashukuru Mwendazake alimpatia nafasi ya viti maalum leo hii wangekuwa wanampaka mate tu.
Polepole nnayemfahamu mimi si huyu huyu ni mnafiki flani mchumia tumbo aliyejivika joho la uzalendo. Kelele kubwa na majungu ndio mtaji wake. Je anaweza kutuambia kwenye yale manunuzi alipata mgao kiasi gani???Kwanini aombewe?
Halafu unaweza kuta yeye hata hauhitaji huo ubunge wala hayuko ki-chama vileee ila wewe unastresika kumtafutia maombi hapa.
Wewe unafikiri Polepole mtoto au kapungukiwa ufahamu?
Wakimvua tu uanachama na ubunge ndio unaishia hapo!!!hapoHivi kikatiba sami ahawezi mtoa/mvua ubunge
Acha kujamba kwa sauti, polepole is realist. Na huu ni muda sahh kuwaumbua kabla wizi haujazidi wa kodi za watzKatika fikra zake, Polepole anaamini yeye ni zaidi ya chama kilichompa ubunge viti maalum. Yeye ndiye Msomi na yeye ndiye Mbunge mkubwa wa chama na vilevile yeye ni mwenye pumzi ya chama anaweza kutikisa kwasasa.
Muombeeni Polepole, anapoeleka ni kubaya zaidi alipotoka yeye si katibu mwenezi wa chama kuondolewa ndani ya chama. Ashukuru Mwendazake alimpatia nafasi ya viti maalum leo hii wangekuwa wanampaka mate tu.
Labda kama wewe ni chawa , Polepole yupi unayemsema ?Acha kujamba kwa sauti, polepole is realist. Na huu ni muda sahh kuwaumbua kabla wizi haujazidi wa kodi za watz
Katika fikra zake, Polepole anaamini yeye ni zaidi ya chama kilichompa ubunge viti maalum. Yeye ndiye Msomi na yeye ndiye Mbunge mkubwa wa chama na vilevile yeye ni mwenye pumzi ya chama anaweza kutikisa kwasasa.
Muombeeni Polepole, anapoeleka ni kubaya zaidi alipotoka yeye si katibu mwenezi wa chama kuondolewa ndani ya chama. Ashukuru Mwendazake alimpatia nafasi ya viti maalum leo hii wangekuwa wanampaka mate tu.
Mimi sio ccm ila wafanye hivyo huyu fa..la katusaliti katiba mpyaWakimvua tu uanachama na ubunge ndio unaishia hapo!!!hapo
Hv ni Kweli huyo comred kwenye avator yako amefariki au watu walimzushia?Polepole banaa😲😲😲 🤣🤣🤣
#SiempreJMT
#SiempreCCM
Hivi kikatiba sami ahawezi mtoa/mvua ubunge
Balozi possi mbona aliondolewa ubunge na shujaa?Anaweza kumteua mtu kuwa mbunge ila hana uwezo wa kutengua ubunge.Ili mhusika apoteze ubunge wake then mchakato unaletwa kwenye chama chake na chama kikiridhia afukuzwe uanachama hapo ndipo anapopoteza haki zake zote including ubunge.
Balozi possi mbona aliondolewa ubunge na shujaa?
Na nyinyi siku hizi mmekua watetezi wa huyo mama yenu mpaka mnaboa,Mnajificha tu ktk mgongo wa Chadema ila ni CCM kumoyoHicho kipindi chake anachokiita 'shule ya siasa' ukitazama kwa makini utagundua amekianzisha mahususi kumchamba Mama Cheif na kumfundisha kazi.
We unaweza kufikia au kujaribu stage aliyofikia?Mbona upo nyuma ya keyboard unahara tuAlitakiwa a-deal nae straight sio kukunja sura tu, kisaikolojia hiyo ni dalili ya uoga.
Ni Pole pole yupi unamuongelea hapa.Hiyo paragraph ya pili inahitaji PhD mpaka uelewe kilichoandikwa
Anyway but me namkubali polepole anaongea ukweli na ana element za umagu
Ndio kisa cha kumuombea? Maana nilichomjibu mtoa maada ni baada ya kutuambia tumuombeePolepole nnayemfahamu mimi si huyu huyu ni mnafiki flani mchumia tumbo aliyejivika joho la uzalendo. Kelele kubwa na majungu ndio mtaji wake. Je anaweza kutuambia kwenye yale manunuzi alipata mgao kiasi gani?
Element za ukweli alizificha kipindi cha hayati? Huyu ni njaa tu hana loloteHiyo paragraph ya pili inahitaji PhD mpaka uelewe kilichoandikwa
Anyway but me namkubali polepole anaongea ukweli na ana element za umagu