Kiburi cha Polepole kimefika mwisho

Kiburi cha Polepole kimefika mwisho

Katika fikra zake, Polepole anaamini yeye ni zaidi ya chama kilichompa ubunge viti maalum. Yeye ndiye Msomi na yeye ndiye Mbunge mkubwa wa chama na vilevile yeye ni mwenye pumzi ya chama anaweza kutikisa kwasasa.

Muombeeni Polepole, anapoeleka ni kubaya zaidi alipotoka yeye si katibu mwenezi wa chama kuondolewa ndani ya chama. Ashukuru Mwendazake alimpatia nafasi ya viti maalum leo hii wangekuwa wanampaka mate tu.
Alilewa sifa za mwendazake
 
P
Kwanini aombewe?

Halafu unaweza kuta yeye hata hauhitaji huo ubunge wala hayuko ki-chama vileee ila wewe unastresika kumtafutia maombi hapa.

Wewe unafikiri Polepole mtoto au kapungukiwa ufahamu?
Polepole nnayemfahamu mimi si huyu huyu ni mnafiki flani mchumia tumbo aliyejivika joho la uzalendo. Kelele kubwa na majungu ndio mtaji wake. Je anaweza kutuambia kwenye yale manunuzi alipata mgao kiasi gani???
 
Katika fikra zake, Polepole anaamini yeye ni zaidi ya chama kilichompa ubunge viti maalum. Yeye ndiye Msomi na yeye ndiye Mbunge mkubwa wa chama na vilevile yeye ni mwenye pumzi ya chama anaweza kutikisa kwasasa.

Muombeeni Polepole, anapoeleka ni kubaya zaidi alipotoka yeye si katibu mwenezi wa chama kuondolewa ndani ya chama. Ashukuru Mwendazake alimpatia nafasi ya viti maalum leo hii wangekuwa wanampaka mate tu.
Acha kujamba kwa sauti, polepole is realist. Na huu ni muda sahh kuwaumbua kabla wizi haujazidi wa kodi za watz
 
Katika fikra zake, Polepole anaamini yeye ni zaidi ya chama kilichompa ubunge viti maalum. Yeye ndiye Msomi na yeye ndiye Mbunge mkubwa wa chama na vilevile yeye ni mwenye pumzi ya chama anaweza kutikisa kwasasa.

Muombeeni Polepole, anapoeleka ni kubaya zaidi alipotoka yeye si katibu mwenezi wa chama kuondolewa ndani ya chama. Ashukuru Mwendazake alimpatia nafasi ya viti maalum leo hii wangekuwa wanampaka mate tu.

Polepole anaongea ujinga ujinga sijui ni kwanini alipewa ubunge. Katiba ya Tanzania inampa Raisi ufalme kiasi kwamba Raisi anaweza kufanya lolote hii kusema kuna serikali ya siri ni uongo kama wa chanjo. Napendekeza Polepole astaafu
 
Anaweza kumteua mtu kuwa mbunge ila hana uwezo wa kutengua ubunge.Ili mhusika apoteze ubunge wake then mchakato unaletwa kwenye chama chake na chama kikiridhia afukuzwe uanachama hapo ndipo anapopoteza haki zake zote including ubunge.
Hivi kikatiba sami ahawezi mtoa/mvua ubunge
 
Anaweza kumteua mtu kuwa mbunge ila hana uwezo wa kutengua ubunge.Ili mhusika apoteze ubunge wake then mchakato unaletwa kwenye chama chake na chama kikiridhia afukuzwe uanachama hapo ndipo anapopoteza haki zake zote including ubunge.
Balozi possi mbona aliondolewa ubunge na shujaa?
 
Hicho kipindi chake anachokiita 'shule ya siasa' ukitazama kwa makini utagundua amekianzisha mahususi kumchamba Mama Cheif na kumfundisha kazi.
Na nyinyi siku hizi mmekua watetezi wa huyo mama yenu mpaka mnaboa,Mnajificha tu ktk mgongo wa Chadema ila ni CCM kumoyo
 
Polepole nnayemfahamu mimi si huyu huyu ni mnafiki flani mchumia tumbo aliyejivika joho la uzalendo. Kelele kubwa na majungu ndio mtaji wake. Je anaweza kutuambia kwenye yale manunuzi alipata mgao kiasi gani?
Ndio kisa cha kumuombea? Maana nilichomjibu mtoa maada ni baada ya kutuambia tumuombee
 
Hiyo paragraph ya pili inahitaji PhD mpaka uelewe kilichoandikwa

Anyway but me namkubali polepole anaongea ukweli na ana element za umagu
Element za ukweli alizificha kipindi cha hayati? Huyu ni njaa tu hana lolote
 
Back
Top Bottom