Kiburi cha Polepole kimefika mwisho

Kiburi cha Polepole kimefika mwisho

Katika fikra zake, Polepole anaamini yeye ni zaidi ya chama kilichompa ubunge viti maalum. Yeye ndiye Msomi na yeye ndiye Mbunge mkubwa wa chama na vilevile yeye ni mwenye pumzi ya chama anaweza kutikisa kwasasa...
Kakufanyaje huyu jamaa? Bila shaka kakugongea mkeo.
 
Katika fikra zake, Polepole anaamini yeye ni zaidi ya chama kilichompa ubunge viti maalum. Yeye ndiye Msomi na yeye ndiye Mbunge mkubwa wa chama na vilevile yeye ni mwenye pumzi ya chama anaweza kutikisa kwasasa...
CCM hampendi Mawazo huru,

Acheni watu waongee,sio lazima ukubaliane na kila kitu wanachofanya wenzako,
 
Ccm hampendi Mawazo huru,
Acheni watu waongee,sio lazima ukubaliane na kila kitu wanachofanya wenzako,
Mawazo huru baada ya kuondolewa kwenye ulaji? Alikuwa wapi kuanzisha shule wakati watu wanapigwa risasi?
 
Hiyo paragraph ya pili inahitaji PhD mpaka uelewe kilichoandikwa

Anyway but me namkubali Polepole anaongea ukweli na ana element za umagu
Huyu ni mtu mnafiki kweli ana elements za umagu.
 
Kwasasa Poleple sio Humphrey tuu Bali Poleple ni taasisi Sasa kwani ameshajibrand kwa zaid ya 5years hvyo ujue tofauti ya kudeal na mtu na kudeal na jina ni sawa unavyomsikia January makamba yule sio mtu tayari ashakua taasisi.

Hvyo kudeal na watu wa namna hii lazima utumie akili kubwa vinginevyo unaeza jichanganya ukashangaa unampa uteuzi au ukamtoa sehemu ukidhan utamuumiza au utamtuliza kumbe ndo umempa ushajaa.
 
Ni mnafiki tu huyo, rokea lini CCM ishawahi kuwa nzuri kwa Tanzania na watu wake???
 
Katika fikra zake, Polepole anaamini yeye ni zaidi ya chama kilichompa ubunge viti maalum. Yeye ndiye Msomi na yeye ndiye Mbunge mkubwa wa chama na vilevile yeye ni mwenye pumzi ya chama anaweza kutikisa kwasasa...
Kwani tatizo liko wap mtu kutoa maoni yake au kufundisha jamii?

Kweli Mambo ya vyama upofusha ufahamu
 
Mleta mada wewe ni lijinga sana tena ni pimbi. Mama hana tatizo na Polepole na Polepole hana tatizo na Mama. Polepole analeta hoja za kujadili kama watanzania na hazihusiani kabisa na kupinga serikali. Na ujue urais ni kutenda mema kwa nchi na ndicho Mama anafanya.
 
Kwanini aombewe?

Halafu unaweza kuta yeye hata hauhitaji huo ubunge wala hayuko ki-chama vileee ila wewe unastresika kumtafutia maombi hapa.

Wewe unafikiri Polepole mtoto au kapungukiwa ufahamu?
Duh
 
Polepole alijiona ndio kafika kwenye mavieitee kabla ya mfadhili kukata roho.
 
Chakubanga kabaki yatima hayupo sukum gang wala msoga line anawayawaya tu!
 
Wakati mwingine madaraka makubwa huwalevya vijana. Polepole alilewa, mpaka sasa ana hang over.
 
Back
Top Bottom