Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado ana ile trauma ya kuukosa uwaziriKatika fikra zake, Polepole anaamini yeye ni zaidi ya chama kilichompa ubunge viti maalum. Yeye ndiye Msomi na yeye ndiye Mbunge mkubwa wa chama na vilevile yeye ni mwenye pumzi ya chama anaweza kutikisa kwasasa.
Muombeeni Polepole, anapoeleka ni kubaya zaidi alipotoka yeye si katibu mwenezi wa chama kuondolewa ndani ya chama. Ashukuru Mwendazake alimpatia nafasi ya viti maalum leo hii wangekuwa wanampaka mate tu.
Kwahiyo wewe unamjuwa polepole wa V8?P
Polepole nnayemfahamu mimi si huyu huyu ni mnafiki flani mchumia tumbo aliyejivika joho la uzalendo. Kelele kubwa na majungu ndio mtaji wake. Je anaweza kutuambia kwenye yale manunuzi alipata mgao kiasi gani???
Mbona Halima Mdee bado ni mbunge?Wakimvua tu uanachama na ubunge ndio unaishia hapo!!!hapo
Kwani Polepole siyo Mzee?Anajifanya anajua sana huyu dogo ila hakuna lolote,
Nilisoma sehemu nikakuta shortiii, Steve Nyerere alivyomtolea uvivu na kumpa onyo kali tena kwa lugha ''ngumu'' sana nikabaki nikisema kweli wakati siyo milele. Hivi shortiii Steve si ndiyo juzi juzi alikuwa anamlamba kila sehemu ya mwili na kumsifia, leo hata jogoo hajawika anamkandia namna hii? Nadhani madaraka huwa yanabadisha mtu kabisa anashindwa kufikiri. Na mama na timu yake ya wapambe nao wanarudia kosa hilo hilo.Polepole Sasa anaongea Kama mchungaji mwamakula busara zimerudi baada ya kuondokewa power and influence kile kipindi chake Cha makoneksheni kupigia wakuu wa mikoa wakuu wa wilaya wakurugenzi simu usiku kimeisha na Hana makoneksheni Tena maisha banaa
Wapambe wote wa Magufuli ni kama hawajaamini kilichokeo tangu kifo chake. Ubaya ni kuwa walikuwa wameshajipanga na kujihakikishia ma-ulaji kwa muda wa maisha yao yote. Hawakuona namna nchi ingetoka tena kwenye himaya yao. Itawachukuwa muda sana kukaa sawa.Huyu "futungo" alizoea marupurupu,mavi 8 na kutetemekewa kila alipozurura nchini sasa anashindwa kukubaliana nahali yasasa kwamba ili asiteseke mtaani akapewa ubunge wamsaada au viti maalumu!! Umaarufu unamwisha wakati alijua atakula mishavu kumbe anakula ngwala!!
Aliyekaribu nae ampe maji pafu 5 kisha avute pumzindefu Mara kumi kisha amalizie na ushuzi wasautiiiii at least sumu itampungua mwilini
Stive Nyerere ni mtoto kipenzi wa mama, inaonekana shule ni mgogoro ndio maana humsikii kwenye teuzi, lakini huu ni wakati wake, Polepole ni takataka tu kwa Stive Nyerere katika awamu hii ya 6.Nilisoma sehemu nikakuta shortiii, Steve Nyerere alivyomtolea uvivu na kumpa onyo kali tena kwa lugha ''ngumu'' sana nikabaki nikisema kweli wakati siyo milele. Hivi shortiii Steve si ndiyo juzi juzi alikuwa anamlamba kila sehemu ya mwili na kumsifia, leo hata jogoo hajawika anamkandia namna hii? Nadhani madaraka huwa yanabadisha mtu kabisa anashindwa kufikiri. Na mama na timu yake ya wapambe nao wanarudia kosa hilo hilo.
Hiyo ni case nyingine, mpya kwa nchi hiiMbona Halima Mdee bado ni mbunge?
mwacheni aongee acheni vitisho, CCM mtu akitoa hoja wasiyoitaka basi ni aduiKatika fikra zake, Polepole anaamini yeye ni zaidi ya chama kilichompa ubunge viti maalum. Yeye ndiye Msomi na yeye ndiye Mbunge mkubwa wa chama na vilevile yeye ni mwenye pumzi ya chama anaweza kutikisa kwasasa.
Muombeeni Polepole, anapoeleka ni kubaya zaidi alipotoka yeye si katibu mwenezi wa chama kuondolewa ndani ya chama. Ashukuru Mwendazake alimpatia nafasi ya viti maalum leo hii wangekuwa wanampaka mate tu.
Yupo sawa kabisa kushikilia msimamo wa Magu, tatizo ninyi CCM sijui mna akili gani mpo kama manyumbu sometimes kiongozi wenu akisema kituninyi mnafuta bila hatakuhoji na kufikili hichi sahihi au laaKatika fikra zake, Polepole anaamini yeye ni zaidi ya chama kilichompa ubunge viti maalum. Yeye ndiye Msomi na yeye ndiye Mbunge mkubwa wa chama na vilevile yeye ni mwenye pumzi ya chama anaweza kutikisa kwasasa.
Muombeeni Polepole, anapoeleka ni kubaya zaidi alipotoka yeye si katibu mwenezi wa chama kuondolewa ndani ya chama. Ashukuru Mwendazake alimpatia nafasi ya viti maalum leo hii wangekuwa wanampaka mate tu.
Bado sana,atoke humo CCM na atuambie yote waliyoyatenda na aombe radhi Watanzania aliowakwaza kipindi kile na ajiunge na wazalendo halisi wa nchi hii.Vinginevyo bado anaendeshwa na njaa tu.Mimi nafikiri ndiyo kipindi akili zake zinaanza kurudi sawasawa!
Unataka asiseme ukweli ili kuficha uozo wa chama?Katika fikra zake, Polepole anaamini yeye ni zaidi ya chama kilichompa ubunge viti maalum. Yeye ndiye Msomi na yeye ndiye Mbunge mkubwa wa chama na vilevile yeye ni mwenye pumzi ya chama anaweza kutikisa kwasasa.
Muombeeni Polepole, anapoeleka ni kubaya zaidi alipotoka yeye si katibu mwenezi wa chama kuondolewa ndani ya chama. Ashukuru Mwendazake alimpatia nafasi ya viti maalum leo hii wangekuwa wanampaka mate tu.
kwani hapo kafanya kibaya kipiEnzi za jiwe watu walijisahau mno ! huyu alikuwa kiongozi wa ccm !
Alikuwa hana mda..lakini baada ya kuoata ile nafasi ya uenezi ndo kajifunza mengi ambayo sasa anatuambia jambo ambalo nizuri na sioni ubayaMawazo huru baada ya kuondolewa kwenye ulaji? Alikuwa wapi kuanzisha shule wakati watu wanapigwa risasi?
Hivi uenezi utaulinganisha na ubunge..Ubunge unalipa kimapato bwanaJinga sana!!na kinachomsumbua sasa ni njaa tu, kwani kipindi cha meko, alikuwa anaishi, peponi sasa ghafla tu , unaanza kuishi kwa kuunga unga lazima ubongo ucheze kidogo!!!unafikiria hata bashiru huko aliko yupo sawa kweli?!!!