Kiburi cha Polepole kimefika mwisho

Kiburi cha Polepole kimefika mwisho

Mimi nafikiri ndiyo kipindi akili zake zinaanza kurudi sawasawa!
 
Katika fikra zake, Polepole anaamini yeye ni zaidi ya chama kilichompa ubunge viti maalum. Yeye ndiye Msomi na yeye ndiye Mbunge mkubwa wa chama na vilevile yeye ni mwenye pumzi ya chama anaweza kutikisa kwasasa.

Muombeeni Polepole, anapoeleka ni kubaya zaidi alipotoka yeye si katibu mwenezi wa chama kuondolewa ndani ya chama. Ashukuru Mwendazake alimpatia nafasi ya viti maalum leo hii wangekuwa wanampaka mate tu.
Bado ana ile trauma ya kuukosa uwaziri
 
P

Polepole nnayemfahamu mimi si huyu huyu ni mnafiki flani mchumia tumbo aliyejivika joho la uzalendo. Kelele kubwa na majungu ndio mtaji wake. Je anaweza kutuambia kwenye yale manunuzi alipata mgao kiasi gani???
Kwahiyo wewe unamjuwa polepole wa V8?
 
Huyu "futungo" alizoea marupurupu,mavi 8 na kutetemekewa kila alipozurura nchini sasa anashindwa kukubaliana nahali yasasa kwamba ili asiteseke mtaani akapewa ubunge wamsaada au viti maalumu!! Umaarufu unamwisha wakati alijua atakula mishavu kumbe anakula ngwala!!
Aliyekaribu nae ampe maji pafu 5 kisha avute pumzindefu Mara kumi kisha amalizie na ushuzi wasautiiiii at least sumu itampungua mwilini
 
Polepole Sasa anaongea Kama mchungaji mwamakula busara zimerudi baada ya kuondokewa power and influence kile kipindi chake Cha makoneksheni kupigia wakuu wa mikoa wakuu wa wilaya wakurugenzi simu usiku kimeisha na Hana makoneksheni Tena maisha banaa
Nilisoma sehemu nikakuta shortiii, Steve Nyerere alivyomtolea uvivu na kumpa onyo kali tena kwa lugha ''ngumu'' sana nikabaki nikisema kweli wakati siyo milele. Hivi shortiii Steve si ndiyo juzi juzi alikuwa anamlamba kila sehemu ya mwili na kumsifia, leo hata jogoo hajawika anamkandia namna hii? Nadhani madaraka huwa yanabadisha mtu kabisa anashindwa kufikiri. Na mama na timu yake ya wapambe nao wanarudia kosa hilo hilo.
 
Huyu "futungo" alizoea marupurupu,mavi 8 na kutetemekewa kila alipozurura nchini sasa anashindwa kukubaliana nahali yasasa kwamba ili asiteseke mtaani akapewa ubunge wamsaada au viti maalumu!! Umaarufu unamwisha wakati alijua atakula mishavu kumbe anakula ngwala!!
Aliyekaribu nae ampe maji pafu 5 kisha avute pumzindefu Mara kumi kisha amalizie na ushuzi wasautiiiii at least sumu itampungua mwilini
Wapambe wote wa Magufuli ni kama hawajaamini kilichokeo tangu kifo chake. Ubaya ni kuwa walikuwa wameshajipanga na kujihakikishia ma-ulaji kwa muda wa maisha yao yote. Hawakuona namna nchi ingetoka tena kwenye himaya yao. Itawachukuwa muda sana kukaa sawa.
 
Nilisoma sehemu nikakuta shortiii, Steve Nyerere alivyomtolea uvivu na kumpa onyo kali tena kwa lugha ''ngumu'' sana nikabaki nikisema kweli wakati siyo milele. Hivi shortiii Steve si ndiyo juzi juzi alikuwa anamlamba kila sehemu ya mwili na kumsifia, leo hata jogoo hajawika anamkandia namna hii? Nadhani madaraka huwa yanabadisha mtu kabisa anashindwa kufikiri. Na mama na timu yake ya wapambe nao wanarudia kosa hilo hilo.
Stive Nyerere ni mtoto kipenzi wa mama, inaonekana shule ni mgogoro ndio maana humsikii kwenye teuzi, lakini huu ni wakati wake, Polepole ni takataka tu kwa Stive Nyerere katika awamu hii ya 6.

Ile Prado nyeusi Stive kanunuliwa na mama akiwa makamu wa Rais.
 
Vp bolebole mwenyewe ansemaje kwani gwajiboy ameshindwa muombea
 
Katika fikra zake, Polepole anaamini yeye ni zaidi ya chama kilichompa ubunge viti maalum. Yeye ndiye Msomi na yeye ndiye Mbunge mkubwa wa chama na vilevile yeye ni mwenye pumzi ya chama anaweza kutikisa kwasasa.

Muombeeni Polepole, anapoeleka ni kubaya zaidi alipotoka yeye si katibu mwenezi wa chama kuondolewa ndani ya chama. Ashukuru Mwendazake alimpatia nafasi ya viti maalum leo hii wangekuwa wanampaka mate tu.
mwacheni aongee acheni vitisho, CCM mtu akitoa hoja wasiyoitaka basi ni adui
 
Katika fikra zake, Polepole anaamini yeye ni zaidi ya chama kilichompa ubunge viti maalum. Yeye ndiye Msomi na yeye ndiye Mbunge mkubwa wa chama na vilevile yeye ni mwenye pumzi ya chama anaweza kutikisa kwasasa.

Muombeeni Polepole, anapoeleka ni kubaya zaidi alipotoka yeye si katibu mwenezi wa chama kuondolewa ndani ya chama. Ashukuru Mwendazake alimpatia nafasi ya viti maalum leo hii wangekuwa wanampaka mate tu.
Yupo sawa kabisa kushikilia msimamo wa Magu, tatizo ninyi CCM sijui mna akili gani mpo kama manyumbu sometimes kiongozi wenu akisema kituninyi mnafuta bila hatakuhoji na kufikili hichi sahihi au laa
au ndo ile kusema zidumu fikra za mwenyekiti hata kama ni mbovu
 
Gwajima amekuwa loud- mouthed,outspoken,KILA MTU anajua Askofu Gwajima anabishana nini na serikali
Sasa wewe una ugomvi wako binafsi na Polepole unataka kuwàaminisha watu kwamba Polepole anachukiwa na kila mtu.
Polepole kaitwa na CC mi sijui kwa nini kaitwa. Labda kwa ajili ya Ile funky dance alipokuwa anamuiga Diamond Platinum.
In brief kama unataka kumshambulia mtu,hakikisha umefanya agitprop ya kutosha.
Siyo kama namsapoti Polepole. Mi sijui chochote kuhusu Polepole either good or bad. I am just vaguely aware kwamba huyu mtu amesoma dialectical materialism.
 
Mimi nafikiri ndiyo kipindi akili zake zinaanza kurudi sawasawa!
Bado sana,atoke humo CCM na atuambie yote waliyoyatenda na aombe radhi Watanzania aliowakwaza kipindi kile na ajiunge na wazalendo halisi wa nchi hii.Vinginevyo bado anaendeshwa na njaa tu.
Tunataka Katiba ya Wananchi ili kuiponya nchi yetu dhidi ya majeraha tuliyopatiwa na ccm.
 
Katika fikra zake, Polepole anaamini yeye ni zaidi ya chama kilichompa ubunge viti maalum. Yeye ndiye Msomi na yeye ndiye Mbunge mkubwa wa chama na vilevile yeye ni mwenye pumzi ya chama anaweza kutikisa kwasasa.

Muombeeni Polepole, anapoeleka ni kubaya zaidi alipotoka yeye si katibu mwenezi wa chama kuondolewa ndani ya chama. Ashukuru Mwendazake alimpatia nafasi ya viti maalum leo hii wangekuwa wanampaka mate tu.
Unataka asiseme ukweli ili kuficha uozo wa chama?
 
Mawazo huru baada ya kuondolewa kwenye ulaji? Alikuwa wapi kuanzisha shule wakati watu wanapigwa risasi?
Alikuwa hana mda..lakini baada ya kuoata ile nafasi ya uenezi ndo kajifunza mengi ambayo sasa anatuambia jambo ambalo nizuri na sioni ubaya
 
Jinga sana!!na kinachomsumbua sasa ni njaa tu, kwani kipindi cha meko, alikuwa anaishi, peponi sasa ghafla tu , unaanza kuishi kwa kuunga unga lazima ubongo ucheze kidogo!!!unafikiria hata bashiru huko aliko yupo sawa kweli?!!!
Hivi uenezi utaulinganisha na ubunge..Ubunge unalipa kimapato bwana
 
Back
Top Bottom