Ukipita pita huko mtaani angaza!
1. Vichaa wengi walioiba nguo wanapenda kukaa uchi huku wakiwa na furushi mgongoni.
2. Kichaa aliyeiba bodaboda hakosi ELEMET kichwani au koti/refrecta.
3. Kichaa aliyekula mke wa mtu muda wote mbele za watu akifika hukata mauno au kupampu kiuno mwanzo mwisho had huruma.
4. Kichaa aliyelogwa kwa ugomvi au ukorofi muda wote ana rungu au mawe mkononi.
5. Kichaa aliyeiba gari muda wote anatia gia mdomoni ...jiiiiiimuuuh.
6. Kichaa aliyekula sadaka na kuwaibia waumini anataja misitari ya bibilia lakini havielewiki.
7. Kiongozi mwenye laana ya kuiba mali za umma huandamwa na mapoooza (yaani huwa wanapesa machoni lakini hawana raha moyoni, huwa ni yatima).