Kichaa cha kulogewa huonesha kosa ulilofanya

Huyu kichaa namba 7 ni mlemle aiseee, baba yangu kaiba mali za umma kipindi cha ujana wake saivi zinamtesa yeye..
 
MWEHU ANACHEKESHA KAMA HATOKEI KWENU, wanaojua adha wanayopitia hao watu hawawezi kuandika dhihaka na kejeli dhidi yao,,
 
MWEHU ANACHEKESHA KAMA HATOKEI KWENU, wanaojua adha wanayopitia hao watu hawawezi kuandika dhihaka na kejeli dhidi yao,,
Bro hakuna dhihaka Bali tunajadili sayansi asilia!
Kwamba malogo yapo na watu wanalogega!
Enzi hizo Nimewahi kumroga MTU aliniibiaga simu kwa dirishani!
Iliiniuma sana! Nikaenda kuroga!

Huyo mwizi muda wote anashikilia jiwe sikioni kama simu anaongea!

Sahiv Natamani ningemsamehe tu ila enzi niliiumia! Atajua mwenyewe!
 
Mi sio bro,

Mwehu anachekesha akiwa sio ndugu yako,
 
8. Kiongozi au mwanasiasa anayerogwa kwa kupindisha matumizi ya pesa ya ruzuku kwa faida zake na kundi lake dogo huwa anapatwa na hali ya kutoeleweka.....leo atasema kule siendi, kesho mtamuona huko anapiga asali au juisi
 
Namba 3 ni unyama sana...kitu mauno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…