Kichaa haachiwi fursa ya kufanya maangamizi-Ndugu Bernard Membe ziba masikioni, Mahakama iheshimiwe stay firm.

Your browser is not able to display this video.
 
Alipe au asilipe ilimradi hukumu imetoka na musiba kuna kitu atakua kajifunza.lakini pia ni funzo kwa chawa wengine wajinga wanaodhani ukiwa mpambe wa kiongozi ni lazima udhalilishe watu kwa maslahi binafsi.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Mchaw lugha


Lkn kuna haja gani ya kupiga mnada hizo mali za mdaiwa kwa nin asimilikishwe mdai alaf yey afanye maamuz ya kuuza au kutumia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…