Bueno
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 34,600
- 59,760
Wakuu, hivi ushawahi kufika sehemu ukamkuta kichaa anampigisha story mwenye akili timamu? Yaan kichaa kavaa smart kabisa kitanashati mwingine unakuta kapendeza mavazi ya urembo ila sio mzima ni kichaa kabisa, ushawahi kutana nayo hii sehemu?
Sio kila aliependeza ana akili timamu na sio kila alievaa rafurafu ni kichaa, jipime mwenyewe upo upande upi je wewe ni kichaa au una akili timamu?
Tambua ya kua Dunia nzima ina watu wasiopungua Billion 1 ambao ni Vichaa, je na wewe ni kichaa usiejitambua?
Umewahi kumkuta kichaa akiwa amesimama anawapigisha story wenye akili timamu as if yeye ndio mwenye akili sana kuliko wale anaowapigisha story kumbe yeye ni kichaa?