Harmful
JF-Expert Member
- Feb 23, 2025
- 5,985
- 21,212
Kwenye nat Kuna ya juu na ya chini we kwani unazungumzia ipi mkuuYaan nati zimelegea?
Kwenye nat Kuna ya juu na ya chini we kwani unazungumzia ipi mkuuYaan nati zimelegea?
Wengi Wanaojiona Wana Akili Timamu kumbe ni Vichaa hatar
Akiambiwa bado anajiona ana Akili
Signs of GeniusKama kuna wakati huwa unaongea peke yako wewe ni kichaa
Ni kama hapa tuu tumekaa chini tunasikiliza story zakoWakuu, hivi ushawahi kufika sehemu ukamkuta kichaa anampigisha story mwenye akili timamu? Yaan kichaa kavaa smart kabisa kitanashati mwingine unakuta kapendeza mavazi ya urembo ila sio mzima ni kichaa kabisa, ushawahi kutana nayo hii sehemu?
Sio kila aliependeza ana akili timamu na sio kila alievaa rafurafu ni kichaa, jipime mwenyewe upo upande upi je wewe ni kichaa au una akili timamu?
Tambua ya kua Dunia nzima ina watu wasiopungua Billion 1 ambao ni Vichaa, je na wewe ni kichaa usiejitambua?
Umewahi kumkuta kichaa akiwa amesimama anawapigisha story wenye akili timamu as if yeye ndio mwenye akili sana kuliko wale anaowapigisha story kumbe yeye ni kichaa?
Wote ni vichaaNa wewe ukachangia sisi tukiwa tumekaa tunakusikiliza, hapo unaonaje?
Nimesahau mkuu sijameza dawa tokea asubuhiWewe unazungumzia ipi?
Inabidi uanzishwe Uzi wa mirembe humu jfAliyejihisi kichaa ni kichaa
Iwe Forum ya mirembe kuwe naInabidi uanzishwe Uzi wa mirembe humu jf
Kila Mtu Anakichaa Chake
Si ndiyo tusaidiane jamani....ukiona member mwenzako haeleweki una mention id yake madaktari wanamfanyia counselingIwe Forum ya mirembe kuwe na
Mada za kuwatibu😅
Ndio sometimes unaongea na mtu unamsikiliza hivi halafu dah alichokiongea na ulichotegemea aongee ni tofauti kabisa hio ni dalili moja wapo kwamba aidha wewe ni kichaa au yeye ni kichaakatika watu kumi kuna machizi fresh watano.ukitaka ujijue kama we ni kichaa jiangalie kama una stress,sonona,hofu,mkali kupitiliza n.k. chanzo cha kuwepo vichaa wengi ni hali ya maisha na uchawi