Bueno
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 34,600
- 59,760
- Thread starter
- #41
Poor Brain min -meSi ndiyo tusaidiane jamani....ukiona member mwenzako haeleweki una mention id yake madaktari wanamfanyia counseling
Poor Brain min -meSi ndiyo tusaidiane jamani....ukiona member mwenzako haeleweki una mention id yake madaktari wanamfanyia counseling
Mkuu kwani Bado sijamaliza dozi?Haya kameze dawa zako halafu uje uendelee kuandika
Ni dada wa kazi au ulimfukuza mkuu?Muulize huyo Nurse anaekupa dawa kila siku
Sometimes Najiskia Uhuru wa kufanya chochote from ImaginationWewe kichaa chako ni kipi hapo?
Una elements zote za ukichaa ila hujawahi kunya kisha ukasahau kutawaza?Sometimes Najiskia Uhuru wa kufanya chochote from Imagination
(Mfano -
kuna siku niliifunga timu yangu 😎 nikakimbia
-Nilisahau nikaingia uwanjani bila kujal kama watu wanacheza mpira
-Nilifanya Usumbufu kwenye Zoom Meeting alf nikajiedit zombie (green screen effect)
-nilirusha jiwe alf nikaliangalia (lilini…🤕)
-Nilikunywa Chemical Lab 🧪
kuleta utani kwenye Vitu Serious 😎
Je wewe ulifanya tukio gani?
Kabisa 😅Si ndiyo tusaidiane jamani....ukiona member mwenzako haeleweki una mention id yake madaktari wanamfanyia counseling
Amesema ni barmaid.....nipo wapi mkuu?Mwulize hapo Wodini yeye ni dada wa kazi?
Kwahyo mkuu umeona mm ninahitaji council ING au
Yoyote ya kusubir mwisho wa mwezKazi km ipi hio mkuu emu fafanua hapo vichaa wajijue vizuri
Kichaa najua maana yake mkuu ndio maana nikaandika kua kuna vichaa wengi duniani zaidi ya Billion 1 wengine wanapingana na huu uzi kwa namna fulani kuzihirisha jinsi ganiHujui maana ya kichaa ungetulia ujiulize kichaa yukoje au unajiombea uwe kichaa ? Insaaalah
Normal person 😎Kwa hio wewe ni yupi hapo?