Sio kupigisha stori tu, hata kuanzisha uzi kama hivi, halafu wenye akili tunasoma na kuweka comments.Wakuu, hivi ushawahi kufika sehemu ukamkuta kichaa anampigisha story mwenye akili timamu? Yaan kichaa kavaa smart kabisa kitanashati mwingine unakuta kapendeza mavazi ya urembo ila sio mzima ni kichaa kabisa, ushawahi kutana nayo hii sehemu?
Sio kila aliependeza ana akili timamu na sio kila alievaa rafurafu ni kichaa, jipime mwenyewe upo upande upi je wewe ni kichaa au una akili timamu?
Tambua ya kua Dunia nzima ina watu wasiopungua Billion 1 ambao ni Vichaa, je na wewe ni kichaa usiejitambua?
Umewahi kumkuta kichaa akiwa amesimama anawapigisha story wenye akili timamu as if yeye ndio mwenye akili sana kuliko wale anaowapigisha story kumbe yeye ni kichaa?
Ili ujijue n kichaa mkuu natakiwa niangalie vigezo ganii😀
Vichaa wanaongea sana hata kwa jambo lisilotakiwa kuongelewa sana, mkuu una uhakika wewee upo timamu?Sio kupigisha stori tu, hata kuanzisha uzi kama hivi, halafu wenye akili tunasoma na kuweka comments.
Wakati mwingine inabidi tutulie kuwasikiliza ili tujue namna bora ya kuwasaidia
Sio kweli!labda kama hujawahi Fanya hesabu za kutoa zenye kukopa ndani take!!Kama kuna wakati huwa unaongea peke yako wewe ni kichaa
Sawaaa mkuuUnaweka emoji za kucheka hicho ni kigezo kimoja wapo kwa hio kwenye Billion 1 naona utakua hujakosekana
😀😀😀😀 HtrKama kuna wakati huwa unaongea peke yako wewe ni kichaa
Imebidi niache uandike na nikusikilize, ili nijue vipi usaidiwe. Nisipokusikiliza nitakuwa sijatimiza wajibu wangu. Kwa hiyo usishangae unaandika stori na bado tunaifuatilia, ni mbinu ya kutafuta tiba inayokufaaVichaa wanaongea sana hata kwa jambo lisilotakiwa kuongelewa sana, mkuu una uhakika wewee upo timamu?
Ukiona mtaani kwenu hakuna vichaa, jichunguze sana, yawezekana ukawa ni wewe!!!Ili ujijue n kichaa mkuu natakiwa niangalie vigezo ganii😀
Kwa hio hapa unahisi nani kichaa?Imebidi niache uandike na nikusikilize, ili nijue vipi usaidiwe. Nisipokusikiliza nitakuwa sijatimiza wajibu wangu. Kwa hiyo usishangae unaandika stori na bado tunaifuatilia, ni mbinu ya kutafuta tiba inayokufaa
Aliyeanzisha uzi. Ni sawa na anayepiga stori.Kwa hio hapa unahisi nani kichaa?
Mkuu vichaa ni wengi sana unajua wengine hawajijui km wao ni vichaa sababu hawajafikia kile kiwango cha juu cha ukichaa ila kikifika ndio watu wanajua huyu ni kichaa lakini ameishi na ukichaa kwa muda mrefu sana na watu wakimuona km mtu mwenye akili timamu kumbe ni kichaaS
Sio kweli!labda kama hujawahi Fanya hesabu za kutoa zenye kukopa ndani take!!
Sawaaaa mkuuUkiona mtaani kwenu hakuna vichaa, jichunguze sana, yawezekana ukawa ni wewe!!!
Unatembea barabarani unajiona umepigilia pamba kali kumbe umevaa madaso!!!
Umetulia zako unajiona uko Beach kumbe upo jalalani.