Kichaa kasimama anaongea na Mwenye akili timamu aliekaa Chini

Ni kama hapa tuu tumekaa chini tunasikiliza story zako
 
katika watu kumi kuna machizi fresh watano.ukitaka ujijue kama we ni kichaa jiangalie kama una stress,sonona,hofu,mkali kupitiliza n.k. chanzo cha kuwepo vichaa wengi ni hali ya maisha na uchawi
 
katika watu kumi kuna machizi fresh watano.ukitaka ujijue kama we ni kichaa jiangalie kama una stress,sonona,hofu,mkali kupitiliza n.k. chanzo cha kuwepo vichaa wengi ni hali ya maisha na uchawi
Ndio sometimes unaongea na mtu unamsikiliza hivi halafu dah alichokiongea na ulichotegemea aongee ni tofauti kabisa hio ni dalili moja wapo kwamba aidha wewe ni kichaa au yeye ni kichaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…