Kichaa kasimama anaongea na Mwenye akili timamu aliekaa Chini

Kuna kichaa na mwenda wazimu wanapishana huyu kichaa hawezi ongea akikuona anakimbia zake anachukia kusemeshwa mwenda wazimu ni kichaa nusu anaweza kutaka kuongea na ww vitu vingi hatakukuuliza maswali hupenda kucheka sana mwepesi kupigana yaani huyu ndo mwenda wazimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…