Abraham Lincolnn
JF-Expert Member
- Apr 12, 2018
- 3,189
- 6,140
Bilioni 31 za ukarabati uwanja wa Mkapa zimeibiwa mchana kweupe, Tunaomba maelezo juu ya matumizi ya pesa hizo - "Tanzania ni nchi ya amani, Nimekula kiapo kuilinda amani ya nchi"
Tume ya uchaguzi sio huru, Uongozi wote na watendaji ni wateuliwa wa mgombea wa CCM, Tunaomba reforms zifanyike kabla hatujaingia kwenye uchaguzi mkuu - "Tanzania ni nchi ya amani, Nimekula kiapo kuilinda amani ya nchi"
Fedha za COVID zimeibiwa takriban Trilion 1.3 ambazo zingetosha madara mapya nchi nzima, Fedha ziko wapi? - "Tanzania ni nchi ya amani, Nimekula kiapo kuilinda amani ya nchi"
Deni la taifa limekuwa kwa kasi ya ajabu, Lakini maendeleo hayaonekani, Je, Fedha hizo zimeenda wapi? - "Tanzania ni nchi ya amani, Nimekula kiapo kuilinda amani ya nchi"
Je, Umasikini mkubwa wa Tanzania umefichwa katika kichaka cha "TUILINDE AMANI YETU" huku maelfu wakiendelea kuikosa amani hiyo mioyoni mwao kutokana na hali mbaya ya maisha?