Kichaka cha 'TUILINDE AMANI YA NCHI' kinapaswa kufyekwa ili tuweze kuendelea kama nchi

Bilioni 31 za ukarabati uwanja wa Mkapa zimeibiwa mchana kweupe, Tunaomba maelezo juu ya matumizi ya pesa hizo - "Tanzania ni nchi ya amani, Nimekula kiapo kuilinda amani ya nchi"

Tume ya uchaguzi sio huru, Uongozi wote na watendaji ni wateuliwa wa mgombea wa CCM, Tunaomba reforms zifanyike kabla hatujaingia kwenye uchaguzi mkuu - "Tanzania ni nchi ya amani, Nimekula kiapo kuilinda amani ya nchi"

Fedha za COVID zimeibiwa takriban Trilion 1.3 ambazo zingetosha madara mapya nchi nzima, Fedha ziko wapi? - "Tanzania ni nchi ya amani, Nimekula kiapo kuilinda amani ya nchi"

Deni la taifa limekuwa kwa kasi ya ajabu, Lakini maendeleo hayaonekani, Je, Fedha hizo zimeenda wapi? - "Tanzania ni nchi ya amani, Nimekula kiapo kuilinda amani ya nchi"

Je, Umasikini mkubwa wa Tanzania umefichwa katika kichaka cha "TUILINDE AMANI YETU" huku maelfu wakiendelea kuikosa amani hiyo mioyoni mwao kutokana na hali mbaya ya maisha?

Mungu wa mbinguni na atuamulie tu hii kesi! maana ...
 
Bila amani usingekuwa umeshikilia kicharazio chako hapo ulipo.
Amani siyo tu kwamba hakuna vita , huyu ni Malyamungu wa Uganda.
1746429139826.jpeg
 
Bilioni 31 za ukarabati uwanja wa Mkapa zimeibiwa mchana kweupe, Tunaomba maelezo juu ya matumizi ya pesa hizo - "Tanzania ni nchi ya amani, Nimekula kiapo kuilinda amani ya nchi"

Tume ya uchaguzi sio huru, Uongozi wote na watendaji ni wateuliwa wa mgombea wa CCM, Tunaomba reforms zifanyike kabla hatujaingia kwenye uchaguzi mkuu - "Tanzania ni nchi ya amani, Nimekula kiapo kuilinda amani ya nchi"

Fedha za COVID zimeibiwa takriban Trilion 1.3 ambazo zingetosha madara mapya nchi nzima, Fedha ziko wapi? - "Tanzania ni nchi ya amani, Nimekula kiapo kuilinda amani ya nchi"

Deni la taifa limekuwa kwa kasi ya ajabu, Lakini maendeleo hayaonekani, Je, Fedha hizo zimeenda wapi? - "Tanzania ni nchi ya amani, Nimekula kiapo kuilinda amani ya nchi"

Je, Umasikini mkubwa wa Tanzania umefichwa katika kichaka cha "TUILINDE AMANI YETU" huku maelfu wakiendelea kuikosa amani hiyo mioyoni mwao kutokana na hali mbaya ya maisha?
Wewe ni miongoni mwa watu wachache wenye akili hapa tz
 
kama Taifa tutaendelea kukarabati na kuboresha miondombinu ya viwanja vya michezo na mamabo mengine kwa gharama zetu wenyewe na bila kujali upotoshaji wa gharama unaoenezwa na wasio na taarifa sahihi juu ya zoezi hilo muhimu sana kwa maendeleo ya michezo nchini.

Tume huru ya taifa ya uchaguzi itaendelea kutekeleza kazi na majukumu yake ya kisheria kwa mujibu wa katiba mpaka pale waTanzania watakavyoona kuna haja ya kuiboresha.
makelele na mayowe ya wanao ona dosari au kasoro za tume huru ya taifa ya uchaguzi, ni vizuri wakasubiri baada ya uchaguzi mkuu wa october 2025, ndipo wafuate utaratibu wa kushauri maboresho kupitia vyombo vya maamuzi za kitaifa.

Fedha za Covi-19,
zilizolenga kusisimua uchumi wa dunia, zimetumika vizuri na kwa uwazi sana Tanzania, na sasa watoto wetu wanapata chakula cha mchana mashuleni, maabara, vyumba vya madarasa na mabweni kwa wanafunzi vimejengwa kwa fedha hizo kidogo karibu nchi nzima.
Huduma za afya na miundombinu yake vimeimarika mara dufu nchini n.k

Deni la taifa letu kama Tanzania ni stahimilivu, lakini pia ni himilivu sana. Tunaaminika duniani na bado tunakopesheka, huku hali ya umaskini ikiendelea kutokomea nchini na maisha ya waTanzania kuimarika zaidi.

kulinda nchi kizalendo hakuhita masharti wala unafiki.

Kama nchi, tutailinda Tanzania kwa wivu mkubwa, kwa nguvu na gharama yoyote ile dhidi ya chokochoko za vibaka au mapeli wa kisiasa wowote wale kutoka ndani au nje ya nchi yetu. :putinWalk:
Mfano wa Kijana wa HOVYO na USELESS kwa taifa lake. Watanzania wamesema tume sio huru ibadilishwe kwa mujibu wa katiba, wewe unasema Tume inatekeleza kazi zake kwa mujibu wa katiba! Kijana MJINGA hauoni point inayozungumzwa ni hiyo katiba kubadilishwa na hiyo tume kurekebishwa? Unalazimisha watanzania wafuate mwongozo wa CCM wakati wao ndiyo walioitengeneza hiyo katiba!
 
Bila amani usingekuwa umeshikilia kicharazio chako hapo ulipo.
KIJANA WA HOVYO, Marekani amani imetawala na ukosoajo unaendelea na maisha ya wananchi wake ni ya kitajiri! Huo woga wako wa kuogopa kukemea maovu kwa kichaka cha kulinda amani ni chanzo cha umasikini uliopo na wa kizazi kijacho
 
Bilioni 31 za ukarabati uwanja wa Mkapa zimeibiwa mchana kweupe, Tunaomba maelezo juu ya matumizi ya pesa hizo - "Tanzania ni nchi ya amani, Nimekula kiapo kuilinda amani ya nchi"

Tume ya uchaguzi sio huru, Uongozi wote na watendaji ni wateuliwa wa mgombea wa CCM, Tunaomba reforms zifanyike kabla hatujaingia kwenye uchaguzi mkuu - "Tanzania ni nchi ya amani, Nimekula kiapo kuilinda amani ya nchi"

Fedha za COVID zimeibiwa takriban Trilion 1.3 ambazo zingetosha madara mapya nchi nzima, Fedha ziko wapi? - "Tanzania ni nchi ya amani, Nimekula kiapo kuilinda amani ya nchi"

Deni la taifa limekuwa kwa kasi ya ajabu, Lakini maendeleo hayaonekani, Je, Fedha hizo zimeenda wapi? - "Tanzania ni nchi ya amani, Nimekula kiapo kuilinda amani ya nchi"

Je, Umasikini mkubwa wa Tanzania umefichwa katika kichaka cha "TUILINDE AMANI YETU" huku maelfu wakiendelea kuikosa amani hiyo mioyoni mwao kutokana na hali mbaya ya maisha?
Kila mradi unaofanyika Tanzania hivi sasa kuna kuongezwa kwa gharama halisi.
Viwanja vya michezo vyote gharama zimeongezwa mara dufu watu wapige, Miradi ya ujenzi wa barabara gharama zimeongezwa kwa 20-25 percent ili watu wapige.

Ndo mana wananunua viwanja kwa mabilioni ya Fedha mkihoji mnaambiwa msivunje amani.

Kwao amani ni hali ya utulivu inayowafanya wawaibie masikini wa Tanzania bila bughuza.
 
Bilioni 31 za ukarabati uwanja wa Mkapa zimeibiwa mchana kweupe, Tunaomba maelezo juu ya matumizi ya pesa hizo - "Tanzania ni nchi ya amani, Nimekula kiapo kuilinda amani ya nchi"

Tume ya uchaguzi sio huru, Uongozi wote na watendaji ni wateuliwa wa mgombea wa CCM, Tunaomba reforms zifanyike kabla hatujaingia kwenye uchaguzi mkuu - "Tanzania ni nchi ya amani, Nimekula kiapo kuilinda amani ya nchi"

Fedha za COVID zimeibiwa takriban Trilion 1.3 ambazo zingetosha madara mapya nchi nzima, Fedha ziko wapi? - "Tanzania ni nchi ya amani, Nimekula kiapo kuilinda amani ya nchi"

Deni la taifa limekuwa kwa kasi ya ajabu, Lakini maendeleo hayaonekani, Je, Fedha hizo zimeenda wapi? - "Tanzania ni nchi ya amani, Nimekula kiapo kuilinda amani ya nchi"

Je, Umasikini mkubwa wa Tanzania umefichwa katika kichaka cha "TUILINDE AMANI YETU" huku maelfu wakiendelea kuikosa amani hiyo mioyoni mwao kutokana na hali mbaya ya maisha?
Vichaa fulani wakayaita mazungumzo ya Mbowe na Samia eti ni maridhiano,yaani ule ulikuwa ushenzi mkubwa hv unawezaje kuridhiana na mtu asiye na busara.
 
kama Taifa tutaendelea kukarabati na kuboresha miondombinu ya viwanja vya michezo na mamabo mengine kwa gharama zetu wenyewe na bila kujali upotoshaji wa gharama unaoenezwa na wasio na taarifa sahihi juu ya zoezi hilo muhimu sana kwa maendeleo ya michezo nchini.

Tume huru ya taifa ya uchaguzi itaendelea kutekeleza kazi na majukumu yake ya kisheria kwa mujibu wa katiba mpaka pale waTanzania watakavyoona kuna haja ya kuiboresha.
makelele na mayowe ya wanao ona dosari au kasoro za tume huru ya taifa ya uchaguzi, ni vizuri wakasubiri baada ya uchaguzi mkuu wa october 2025, ndipo wafuate utaratibu wa kushauri maboresho kupitia vyombo vya maamuzi za kitaifa.

Fedha za Covi-19,
zilizolenga kusisimua uchumi wa dunia, zimetumika vizuri na kwa uwazi sana Tanzania, na sasa watoto wetu wanapata chakula cha mchana mashuleni, maabara, vyumba vya madarasa na mabweni kwa wanafunzi vimejengwa kwa fedha hizo kidogo karibu nchi nzima.
Huduma za afya na miundombinu yake vimeimarika mara dufu nchini n.k

Deni la taifa letu kama Tanzania ni stahimilivu, lakini pia ni himilivu sana. Tunaaminika duniani na bado tunakopesheka, huku hali ya umaskini ikiendelea kutokomea nchini na maisha ya waTanzania kuimarika zaidi.

kulinda nchi kizalendo hakuhita masharti wala unafiki.

Kama nchi, tutailinda Tanzania kwa wivu mkubwa, kwa nguvu na gharama yoyote ile dhidi ya chokochoko za vibaka au mapeli wa kisiasa wowote wale kutoka ndani au nje ya nchi yetu. :putinWalk:
Gentleman, fedha za ukarabati uwanja wa taifa zimepigwa na kuonyesha dhahir shahir na CAF.
Kinachoitwa tume huru ya uchaguzi Ina tofauti gani na tume ya uchaguzi ya Magufuli na Mahera?
Fedha za COVID ni matumizi mabaya ya mkopo nathalan-;
Unawekaje CT Scan kwenye zahanati isiyo na watalamu wala jengo muafaka na sehemu uhitaji wao mkuu ni dawa za Mseto na kuzuia kuharisha watoto 2) Tandale Primary School wamejenga madarasa manne mapya huku kuna madarasa hamsini hayana milango,madirisha na matundu ya choo ya kutisha ( bora wangekarabati )
Kila kinachofanywa na Samia/Mwigulu kina harufu ya incompetence na ubadhirifu.
 
kama Taifa tutaendelea kukarabati na kuboresha miondombinu ya viwanja vya michezo na mamabo mengine kwa gharama zetu wenyewe na bila kujali upotoshaji wa gharama unaoenezwa na wasio na taarifa sahihi juu ya zoezi hilo muhimu sana kwa maendeleo ya michezo nchini.

Tume huru ya taifa ya uchaguzi itaendelea kutekeleza kazi na majukumu yake ya kisheria kwa mujibu wa katiba mpaka pale waTanzania watakavyoona kuna haja ya kuiboresha.
makelele na mayowe ya wanao ona dosari au kasoro za tume huru ya taifa ya uchaguzi, ni vizuri wakasubiri baada ya uchaguzi mkuu wa october 2025, ndipo wafuate utaratibu wa kushauri maboresho kupitia vyombo vya maamuzi za kitaifa.

Fedha za Covi-19,
zilizolenga kusisimua uchumi wa dunia, zimetumika vizuri na kwa uwazi sana Tanzania, na sasa watoto wetu wanapata chakula cha mchana mashuleni, maabara, vyumba vya madarasa na mabweni kwa wanafunzi vimejengwa kwa fedha hizo kidogo karibu nchi nzima.
Huduma za afya na miundombinu yake vimeimarika mara dufu nchini n.k

Deni la taifa letu kama Tanzania ni stahimilivu, lakini pia ni himilivu sana. Tunaaminika duniani na bado tunakopesheka, huku hali ya umaskini ikiendelea kutokomea nchini na maisha ya waTanzania kuimarika zaidi.

kulinda nchi kizalendo hakuhita masharti wala unafiki.

Kama nchi, tutailinda Tanzania kwa wivu mkubwa, kwa nguvu na gharama yoyote ile dhidi ya chokochoko za vibaka au mapeli wa kisiasa wowote wale kutoka ndani au nje ya nchi yetu. :putinWalk:
We dogo kwanini ni KIAZI: umeajiriwq na CCM kujibu kila SMS ? Kwanini huwezi kuadmit madhaifu ya chama chako
 
We ngiri wa kasongo shut up your fingers
 
We dogo kwanini ni KIAZI: umeajiriwq na CCM kujibu kila SMS ? Kwanini huwezi kuadmit madhaifu ya chama chako
mbona weo sasa gentleman?
ukichoka kufuatilia ukweli ninao ueleza humu jukwaani, si ufuatilie wadau wengine plz,

we namna gani kasongo?🐒
 
Hizo ndio propaganda miaka nenda rudi. Ukihoji ufisadi au matumizi mabaya ya rasilimali utaambiwa wewe ni mchochezi unataka kuharibu amani ya nchi. Pia majukwaani utasikia ichagueni CCM ili nchi iendelee kuwa na amani, sasa najiuliza wapinzani wa CCM ndio Al shabab au Al Qaeda!
 
Back
Top Bottom