Abraham Lincolnn
JF-Expert Member
- Apr 12, 2018
- 3,189
- 6,140
kama Taifa tutaendelea kukarabati na kuboresha miondombinu ya viwanja vya michezo na mamabo mengine kwa gharama zetu wenyewe na bila kujali upotoshaji wa gharama unaoenezwa na wasio na taarifa sahihi juu ya zoezi hilo muhimu sana kwa maendeleo ya michezo nchini.Bilioni 31 za ukarabati uwanja wa Mkapa zimeibiwa mchana kweupe, Tunaomba maelezo juu ya matumizi ya pesa hizo - "Tanzania ni nchi ya amani, Nimekula kiapo kuilinda amani ya nchi"
Tume ya uchaguzi sio huru, Uongozi wote na watendaji ni wateuliwa wa mgombea wa CCM, Tunaomba reforms zifanyike kabla hatujaingia kwenye uchaguzi mkuu - "Tanzania ni nchi ya amani, Nimekula kiapo kuilinda amani ya nchi"
Fedha za COVID zimeibiwa takriban Trilion 1.3 ambazo zingetosha madara mapya nchi nzima, Fedha ziko wapi? - "Tanzania ni nchi ya amani, Nimekula kiapo kuilinda amani ya nchi"
Deni la taifa limekuwa kwa kasi ya ajabu, Lakini maendeleo hayaonekani, Je, Fedha hizo zimeenda wapi? - "Tanzania ni nchi ya amani, Nimekula kiapo kuilinda amani ya nchi"
Je, Umasikini mkubwa wa Tanzania umefichwa katika kichaka cha "TUILINDE AMANI YETU" huku maelfu wakiendelea kuikosa amani hiyo mioyoni mwao kutokana na hali mbaya ya maisha?
Aisee,ccm uchawi hawajakosa kabisa
Inafikirisha sana......ufisadi, mikataba ya ufirisi kwenye migodi ya madini, utoroshaji wa raslimali, akaunti nje ya nchi- hivi list of shame ilikuwa ya akina nani tena? Rushwa kila Kona.....n.k...n.k ongezeaBilioni 31 za ukarabati uwanja wa Mkapa zimeibiwa mchana kweupe, Tunaomba maelezo juu ya matumizi ya pesa hizo - "Tanzania ni nchi ya amani, Nimekula kiapo kuilinda amani ya nchi"
Tume ya uchaguzi sio huru, Uongozi wote na watendaji ni wateuliwa wa mgombea wa CCM, Tunaomba reforms zifanyike kabla hatujaingia kwenye uchaguzi mkuu - "Tanzania ni nchi ya amani, Nimekula kiapo kuilinda amani ya nchi"
Fedha za COVID zimeibiwa takriban Trilion 1.3 ambazo zingetosha madara mapya nchi nzima, Fedha ziko wapi? - "Tanzania ni nchi ya amani, Nimekula kiapo kuilinda amani ya nchi"
Deni la taifa limekuwa kwa kasi ya ajabu, Lakini maendeleo hayaonekani, Je, Fedha hizo zimeenda wapi? - "Tanzania ni nchi ya amani, Nimekula kiapo kuilinda amani ya nchi"
Je, Umasikini mkubwa wa Tanzania umefichwa katika kichaka cha "TUILINDE AMANI YETU" huku maelfu wakiendelea kuikosa amani hiyo mioyoni mwao kutokana na hali mbaya ya maisha?
AMANI gani?Bila amani usingekuwa umeshikilia kicharazio chako hapo ulipo.
Amani ya kulazimishwa ili watunwaibeBila amani usingekuwa umeshikilia kicharazio chako hapo ulipo.
Yaliyotokea Kenya, hatujajifunza bado? South Sudan, DRC?Amani ya kulazimishwa ili watunwaibe
Nimeshindwa kutafsiriYaliyotokea Kenya, hatujajifunza bado? South Sudan, DRC?
Ni halali kudai haki, lakini iwe katika njia isiyovunja amani.
Kudai haki na kuvunja amani ni almost sawa na kumuua mdaiwa kama fidia ya deni.
Ccm ni mchwaBilioni 31 za ukarabati uwanja wa Mkapa zimeibiwa mchana kweupe, Tunaomba maelezo juu ya matumizi ya pesa hizo - "Tanzania ni nchi ya amani, Nimekula kiapo kuilinda amani ya nchi"
Tume ya uchaguzi sio huru, Uongozi wote na watendaji ni wateuliwa wa mgombea wa CCM, Tunaomba reforms zifanyike kabla hatujaingia kwenye uchaguzi mkuu - "Tanzania ni nchi ya amani, Nimekula kiapo kuilinda amani ya nchi"
Fedha za COVID zimeibiwa takriban Trilion 1.3 ambazo zingetosha madara mapya nchi nzima, Fedha ziko wapi? - "Tanzania ni nchi ya amani, Nimekula kiapo kuilinda amani ya nchi"
Deni la taifa limekuwa kwa kasi ya ajabu, Lakini maendeleo hayaonekani, Je, Fedha hizo zimeenda wapi? - "Tanzania ni nchi ya amani, Nimekula kiapo kuilinda amani ya nchi"
Je, Umasikini mkubwa wa Tanzania umefichwa katika kichaka cha "TUILINDE AMANI YETU" huku maelfu wakiendelea kuikosa amani hiyo mioyoni mwao kutokana na hali mbaya ya maisha?
Inatosha na inatosha. Sasa basi.Bilioni 31 za ukarabati uwanja wa Mkapa zimeibiwa mchana kweupe, Tunaomba maelezo juu ya matumizi ya pesa hizo - "Tanzania ni nchi ya amani, Nimekula kiapo kuilinda amani ya nchi"
Tume ya uchaguzi sio huru, Uongozi wote na watendaji ni wateuliwa wa mgombea wa CCM, Tunaomba reforms zifanyike kabla hatujaingia kwenye uchaguzi mkuu - "Tanzania ni nchi ya amani, Nimekula kiapo kuilinda amani ya nchi"
Fedha za COVID zimeibiwa takriban Trilion 1.3 ambazo zingetosha madara mapya nchi nzima, Fedha ziko wapi? - "Tanzania ni nchi ya amani, Nimekula kiapo kuilinda amani ya nchi"
Deni la taifa limekuwa kwa kasi ya ajabu, Lakini maendeleo hayaonekani, Je, Fedha hizo zimeenda wapi? - "Tanzania ni nchi ya amani, Nimekula kiapo kuilinda amani ya nchi"
Je, Umasikini mkubwa wa Tanzania umefichwa katika kichaka cha "TUILINDE AMANI YETU" huku maelfu wakiendelea kuikosa amani hiyo mioyoni mwao kutokana na hali mbaya ya maisha?
Hata ripoti ya CAG hufuatiliiTafadhali muwasilishaji, source ya hizo b.31 kupotea ili tujue cha kuandika