Kichaka cha 'TUILINDE AMANI YA NCHI' kinapaswa kufyekwa ili tuweze kuendelea kama nchi


Mungu wa mbinguni na atuamulie tu hii kesi! maana ...
 
Wewe ni miongoni mwa watu wachache wenye akili hapa tz
 
Mfano wa Kijana wa HOVYO na USELESS kwa taifa lake. Watanzania wamesema tume sio huru ibadilishwe kwa mujibu wa katiba, wewe unasema Tume inatekeleza kazi zake kwa mujibu wa katiba! Kijana MJINGA hauoni point inayozungumzwa ni hiyo katiba kubadilishwa na hiyo tume kurekebishwa? Unalazimisha watanzania wafuate mwongozo wa CCM wakati wao ndiyo walioitengeneza hiyo katiba!
 
Bila amani usingekuwa umeshikilia kicharazio chako hapo ulipo.
KIJANA WA HOVYO, Marekani amani imetawala na ukosoajo unaendelea na maisha ya wananchi wake ni ya kitajiri! Huo woga wako wa kuogopa kukemea maovu kwa kichaka cha kulinda amani ni chanzo cha umasikini uliopo na wa kizazi kijacho
 
Kila mradi unaofanyika Tanzania hivi sasa kuna kuongezwa kwa gharama halisi.
Viwanja vya michezo vyote gharama zimeongezwa mara dufu watu wapige, Miradi ya ujenzi wa barabara gharama zimeongezwa kwa 20-25 percent ili watu wapige.

Ndo mana wananunua viwanja kwa mabilioni ya Fedha mkihoji mnaambiwa msivunje amani.

Kwao amani ni hali ya utulivu inayowafanya wawaibie masikini wa Tanzania bila bughuza.
 
Vichaa fulani wakayaita mazungumzo ya Mbowe na Samia eti ni maridhiano,yaani ule ulikuwa ushenzi mkubwa hv unawezaje kuridhiana na mtu asiye na busara.
 
Gentleman, fedha za ukarabati uwanja wa taifa zimepigwa na kuonyesha dhahir shahir na CAF.
Kinachoitwa tume huru ya uchaguzi Ina tofauti gani na tume ya uchaguzi ya Magufuli na Mahera?
Fedha za COVID ni matumizi mabaya ya mkopo nathalan-;
Unawekaje CT Scan kwenye zahanati isiyo na watalamu wala jengo muafaka na sehemu uhitaji wao mkuu ni dawa za Mseto na kuzuia kuharisha watoto 2) Tandale Primary School wamejenga madarasa manne mapya huku kuna madarasa hamsini hayana milango,madirisha na matundu ya choo ya kutisha ( bora wangekarabati )
Kila kinachofanywa na Samia/Mwigulu kina harufu ya incompetence na ubadhirifu.
 
Tanzania hakuna AMANI na ushahidi ni huu hapa
Your browser is not able to display this video.
 
We dogo kwanini ni KIAZI: umeajiriwq na CCM kujibu kila SMS ? Kwanini huwezi kuadmit madhaifu ya chama chako
 
We ngiri wa kasongo shut up your fingers
 
We dogo kwanini ni KIAZI: umeajiriwq na CCM kujibu kila SMS ? Kwanini huwezi kuadmit madhaifu ya chama chako
mbona weo sasa gentleman?
ukichoka kufuatilia ukweli ninao ueleza humu jukwaani, si ufuatilie wadau wengine plz,

we namna gani kasongo?🐒
 
Hizo ndio propaganda miaka nenda rudi. Ukihoji ufisadi au matumizi mabaya ya rasilimali utaambiwa wewe ni mchochezi unataka kuharibu amani ya nchi. Pia majukwaani utasikia ichagueni CCM ili nchi iendelee kuwa na amani, sasa najiuliza wapinzani wa CCM ndio Al shabab au Al Qaeda!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…