Kichaka cha 'TUILINDE AMANI YA NCHI' kinapaswa kufyekwa ili tuweze kuendelea kama nchi

Kunyamaza siyo amani mimi naweza kunyamaza kwakupenda ama kunyamazishwa

Kunyamaza ni kusalimu amri kwa majukumu ya kijamii ama kitaifa

Silence surrenders public responsibilities
 
Umeandika kiharakati sana. Umeacha ukweli wa kihistoria na hali halisi. Bahati mbaya una argue kama mtoto wa darasa la pili.
Huenda labda wewe unaishi nchi ya maziwa na asali ambapo ajira kwa vijana ni 95% kama Mauritius na south africa na huduma za afya ni bora kama Kenya na elimu bora kama Seychelles 😀
 
CCM wanqlinda wezi wa mali za umma kwa mgongo wa amani ujibga kabisa
 
Kunyamaza siyo amani mimi naweza kunyamaza kwakupenda ama kunyamazishwa

Kunyamaza ni kusalimu amri kwa majukumu ya kijamii ama kitaifa

Silence surrenders public responsibilities
Hawa watenda maovu wanapenda sana hicho kimya cha waTanzania, wanachokiita AMANI. Hawajui kwamba hicho kimya siku moja kitakuwa MSHINDO mkubwa wasioweza kuuzuia.
 
Hawa watenda maovu wanapenda sana hicho kimya cha waTanzania, wanachokiita AMANI. Hawajui kwamba hicho kimya siku moja kitakuwa MSHINDO mkubwa wasioweza kuuzuia.
There swimming in money
 
Ningependa kusema kwamba wewe ni mmoja wa wanufaikaji wakubwa wa serikali ya awamu ya 6
 
Ningependa kusema kwamba wewe ni mmoja wa wanufaikaji wakubwa wa serikali ya awamu ya 6
gentleman,
awamu ya 6 na awamu nyingine zote zilizopita, zimewanafaisha waTanzania wote kijamii, kiuchumi na kisiasa 🐒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…