Kichaka cha waliokuwa wanajificha kufika robo fainali CAF CL kimefyekwa rasmi

Sasa sio Majini tena 😂😂
 
Simba huwa inangia robo fainai kwa mbinde mbinde tu kila mwaka na huenda hali hiyo itajirudia tena
mwaka huu.
Wao wameingia robo ya klabu bingwa mara 3 ndani ya misimu 5, wenzao wamecheza fainali ya shirikisho barani Africa na kuingia robo fainali ya klabu bingwa ndani ya misimu 2 tu, apo utaona ni timu Gani Inasonga mbele kwa Kasi ya kimondo na utaona timu inavyocheza kwa mazoea inabaki pale pale Kila mwaka!
 
Mfani unaingia robo fainali kwà mara ya kwanza baada ya miaka 90 unafurahia mpaka mnalazwa mahospitalini wakati MASHABIKI wa Simba hiyo kwào ni kama kuingia robo fainali ya MAPINDUZI CUP.Punguzeni ujinga
 
Sitashangaa mkishindwa kuingia robo fainali..!! Maana kuingia kwenu bado maombi yanahitajika..!!
 
Acha Waendelee Kufurahia Maendeleo Wakati Wanarudi Nyuma.
 
Mwaka Jana Tumecheza Final Ya Shirikisho Mwaka Huu Tukutane Final.

This is Dar Young Africans Mabingwa Wa Kihistoria Na Wa Muda Wote
Mfani unaingia robo fainali kwà mara ya kwanza baada ya miaka 90 unafurahia mpaka mnalazwa mahospitalini wakati MASHABIKI wa Simba hiyo kwào ni kama kuingia robo fainali ya MAPINDUZI CUP.Punguzeni ujinga
 
Sasa watajifichia kwenye yale mashindano ya kuchaguana yasiyo na utaratibu maalumu wa timu kushiriki Yaliyokataliwa Ulaya.
Teh teh te teeeeh.
 
Mwazo ndio kama hayo tu, hawabadiriki, hawajifunzi.
Sasa utasikia wanasema Yanga sijui freemason, wanatumia madawa, mara sijui wanaroga na mambo mengine yenye akili za mgando.
Wacha sindano iwaingie kwanza.
Yanga ina viongozi imara wanao kubali kujifunza kila wakati, ndio maana timu imekuwa bora.
 
Sasa watajifichia kwenye yale mashindano ya kuchaguana yasiyo na utaratibu maalumu wa timu kushiriki Yaliyokataliwa Ulaya.
Teh teh te teeeeh.
Hayo mashindano waliya promote sana, nikajua yatakuwa ni mashindano makubwa yenye hadhi zaidi ya klabu bingwa lakini hakuna lolote zsidi ya pesa tu. Mshindi wa hilo kombe haendi popote, wakati klabu bingwa mshindi anaenda kucheza klabu bingwa dunia.
 
Ata kwenye ayo mashindano yanga akishiriki atafanya vizuri zaidi yao, akuna jiwe watakaloacha yanga kwenye michuano yoyote, Sasa hivi wako kimyaaa wamekuwa Kama mtu aliyeshikwa ugoni Awana pa kukimbilia yanga kaweka heshima mjini uku akiendelea kuwaziba midomo na wanajua yanga Ina nafasi kubwa ya kwenda nusu fainali ya klabu bingwa kuliko wao ivyo wamepigwa na ganzi sehemu zote za mwili!
 
Kiukweli Ni Wahuni Mambo Yao Ni Janjajanja.

Mwaka 2022/23 Simba iliingia robo fainali ikiwa na point 9 wakagti timu nyingine zote zikiwa na point kuanzia 10 na hadi 16. Mwaka juzi 2021/22 hawakuingia robo fainali ya Championship ingawa wanadnanya kuwa wameingia mfululizo, badala yake waliingia robo fainali ya Confederation baada ya kutolewa kwenye Champiniship na wakaishia hapo hapo ba ya kichapo cha Orlando Pirates
 
BADO HAMJASEMA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…