Kichanga cha Faiza Ally chaanza kutembezwa kwenye mitaa!!!

ila naona baada ya chanjo akaamua kupitia hotelini. hayo mazingira ni ya hotel.
 
Wewe ndio umesema kuwa ameenda kwenye chanjo, maana chanjo za mwanzo ni kwa ajili ya Polio na ile ya BCG na hizo mara nyingi mtoto huwa anachomwa mtoto kabla ya kwenda nyumbani baada ya mama wa mtoto kujifungua
Hapo ndio nlitaka kushangaa mama anarnda nyumbani bila hizo chanjo

Labda kama utaratibu umebadilika
 
Wewe ndio umesema kuwa ameenda kwenye chanjo, maana chanjo za mwanzo ni kwa ajili ya Polio na ile ya BCG na hizo mara nyingi mtoto huwa anachomwa mtoto kabla ya kwenda nyumbani baada ya mama wa mtoto kujifungua
Haya hakwenda aghakhan alikwenda kumtembeza mitaani mtoto[emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ndio umesema kuwa ameenda kwenye chanjo, maana chanjo za mwanzo ni kwa ajili ya Polio na ile ya BCG na hizo mara nyingi mtoto huwa anachomwa mtoto kabla ya kwenda nyumbani baada ya mama wa mtoto kujifungua
Mi nilijifungua nikaenda nyumbani nikaambiwa nirudi sababu hawezi fungua dawa ya chanjo kwa mtoto mmoja .. so nilirudi baada ya siku nne .. inatokea hasa hospital za private okey
 
Wewe mama yako alikua anapaa vuu mpaka home baada ya kutoka kukupeleka chanjo au hospital?[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Chanjo gani hiyo alienda kupewa?!

Chanjo za mwanzo za mtoto huwa zinatolewa kabla mama hajaruhusiwa kutoka hsptl.

Hapo sio aga khan ni hotel kwahiyo siwezi kukubaliana na mtu anayesema alikuwa kwny chanjo
 
Mi nilijifungua nikaenda nyumbani nikaambiwa nirudi sababu hawezi fungua dawa ya chanjo kwa mtoto mmoja .. so nilirudi baada ya siku nne .. inatokea hasa hospital za private okey
Siku nyingine usichukue mtt kabla hajapewa chanjo hamna sehem inayosema mpk wawe wengi ndio chanjo ifunguliwe.

Mimi mdogo wangu aligoma kuambiwa aende arudi na wakampa chanjo
 
Iyo picha ya tatu inaoneasha bado anamaumivu,... i instagrama itawawauwa,....
 
Pambaneni na Hali zenu. Huyo faiza mkisema mmufatilie mtaumiza vichwa vyenu tu.
Kaweza kuvaa pembas kwenye mkusanyiko wa watu.
Ndo mambo Madogo kama haya yampe shida

Ujana haubagui.[emoji53][emoji53]
 
Pambaneni na Hali zenu. Huyo faiza mkisema mmufatilie mtaumiza vichwa vyenu tu.
Kaweza kuvaa pembas kwenye mkusanyiko wa watu.
Ndo mambo Madogo kama haya yampe shida

Ujana haubagui.[emoji53][emoji53]

Unamaana ipi kuvaa pempas kweny mkusanyiko wa watu???
 
Heh! Kachanga kamepata Mama!!! Hata wiki bado kanabebwa kwenye kikapu? Yaani hata ule ujoto joto wa Mama kana ukosa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…