sister
JF-Expert Member
- Nov 23, 2011
- 9,014
- 6,847
ila naona baada ya chanjo akaamua kupitia hotelini. hayo mazingira ni ya hotel.Jumatano ni siku ya chajo kwa watoto pale aghakhan na faiza alikwenda huko.
Mlitaka akae nae ndani mpaka mila zenu zitakaporuhusu ndio atoke ampeleke?
Au angeenda yeye pekee kwa niaba ya mtoto??
Au ninyi wenzetu baada ya kujifungua huwa mnafuatwa ndani na madaktari kila chanjo na mnapokua na tatizo?
Sent using Jamii Forums mobile app