Kichanga cha Faiza Ally chaanza kutembezwa kwenye mitaa!!!

ni huruma tu kwa mtoto ndiyo maana , yeye akiamua kuzulura afanye tu hvyo ila mtoto amwache kwanza.

yuko poa sana, tunaangaliana tu kwa furaha.
 
Kwanza ana low immunity bado, so yupo prone to infections, pili yupo kwenye hatari ya sepsis kupitia kitovu (umbilical cord), tatu yupo kwenye perinatal period still hajaadapt mazngra mapya baada ya kuzaliwa, na pia hajawa covered kote na anamtembeza sehem za watu weng anaweza pata TB kutokana na droplets wanapokohoa,malaria pia coz mbu wapo kila sehem plus URTI(Upper Respiratory Tract Infections) kutokana na vumbi na bacteria ambao wapo free on air, ni wengi... infact huyu ni wakushtakiwa, hamtendei haki mtoto huyu.
 
Kwadani yake lazima siku 40 ndo mtoto anatoka nje .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ni huruma tu kwa mtoto ndiyo maana , yeye akiamua kuzulura afanye tu hvyo ila mtoto amwache kwanza.

yuko poa sana, tunaangaliana tu kwa furaha.
wow!!! kiss him/her for me plz.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
[emoji106]

-Ndumilakuwili-
 
huna exposure yakutosha wew umezoea kufunikwa funikwa na kufichwa kwa watoto kama wagonjwa nenda ulaya uone mtoto kazaliwa asubuh jioni yuko supermarket maisha yanaendelea mnadhani izo likizo wanazopewaga ulaya ni za kulala kitandani na kujifunika?
 
Pitia maelezo ya wataalam acha kubwabwaja[emoji116]

-Ndumilakuwili-
 
...Kama alikuwa anampeleka tu hospital basi hamna tatizo ila kama alikuwa kwa matembezi hapo kuna walakini..mama ndio anatakiwa akishajifungua apumzike mwili ulicover kupata nguvu zaidi.
 
Msimpangie mimba alibeba mwenyewe jamani! kila mtu ana lifestyle yake.Faiza kwa raha zako ikiwezekana mfanyie photoshoot ya beachbebas.
 
Kwahili mnamuone faiza...huwezi jua kwa nini katoka pengine mtoto kapelekwa chanjo au kapata homa ikabidi amrudishe hosp..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…