kuduman201036
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 4,058
- 2,175
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni huruma tu kwa mtoto ndiyo maana , yeye akiamua kuzulura afanye tu hvyo ila mtoto amwache kwanza.Lakini babe sio mbaya kila mtu na aina yake ya maisha.... ulivyotoka hospital straight home.... alivyotoka hospital akapitia hotel ale then arudi home.... picha ni moja tu me nilijua zipo picha mia za mitaa tofauti tofauti ndio tungesema kamzurulisha..... so chillax okay??
By the way mtoto wako anaendeleaje now.
Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
Haaaa subir aje Na povu
Haaaa subir aje Na povu
Kwadani yake lazima siku 40 ndo mtoto anatoka nje .Naona sasa hivi utandawazi umekuwa kwa kasi sana kichanga hakija fikisha hata siku 7(wiki moja)kinaanza kutembezwa kwenye mitaa,hili nimeliona kwa mrembo Faiza Ally.
Picha hapo chini[emoji116]![]()
![]()
![]()
Nb:Wabobezi wa mambo ya Afya na dini hii imekaaje?piteni mtutoe tongo tongo kwenye hili.
-Ndumilakuwili-
wow!!! kiss him/her for me plz.ni huruma tu kwa mtoto ndiyo maana , yeye akiamua kuzulura afanye tu hvyo ila mtoto amwache kwanza.
yuko poa sana, tunaangaliana tu kwa furaha.
[emoji106]Kwanza ana low immunity bado, so yupo prone to infections, pili yupo kwenye hatari ya sepsis kupitia kitovu (umbilical cord), tatu yupo kwenye perinatal period still hajaadapt mazngra mapya baada ya kuzaliwa, na pia hajawa covered kote na anamtembeza sehem za watu weng anaweza pata TB kutokana na droplets wanapokohoa,malaria pia coz mbu wapo kila sehem plus URTI(Upper Respiratory Tract Infections) kutokana na vumbi na bacteria ambao wapo free on air, ni wengi... infact huyu ni wakushtakiwa, hamtendei haki mtoto huyu.
Pitia maelezo ya wataalam acha kubwabwaja[emoji116]huna exposure yakutosha wew umezoea kufunikwa funikwa na kufichwa kwa watoto kama wagonjwa nenda ulaya uone mtoto kazaliwa asubuh jioni yuko supermarket maisha yanaendelea mnadhani izo likizo wanazopewaga ulaya ni za kulala kitandani na kujifunika?
Kwanza ana low immunity bado, so yupo prone to infections, pili yupo kwenye hatari ya sepsis kupitia kitovu (umbilical cord), tatu yupo kwenye perinatal period still hajaadapt mazngra mapya baada ya kuzaliwa, na pia hajawa covered kote na anamtembeza sehem za watu weng anaweza pata TB kutokana na droplets wanapokohoa,malaria pia coz mbu wapo kila sehem plus URTI(Upper Respiratory Tract Infections) kutokana na vumbi na bacteria ambao wapo free on air, ni wengi... infact huyu ni wakushtakiwa, hamtendei haki mtoto huyu.
Tafadhali sana prof uchwaraWewe mwenye ubongo wa samaki njoo soma maelezo ya dokta[emoji116]
-Ndumilakuwili-
Nakuona nakuona rubii
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] photoshoot hiyo atamuonea jamaniMsimpangie mimba alibeba mwenyewe jamani! kila mtu ana lifestyle yake.Faiza kwa raha zako ikiwezekana mfanyie photoshoot ya beachbebas.