Kicheko cha Shahidi wa 12 wa Jamhuri Luteni Denis Urio Mahakamani kina maana gani?

Kilichomchekesha ni 1130138344 'DENIS OWNER' 😂
 
na hiyo namba iliyotumika kufungua kama hata ni ya dubai au tanzania ndio inayohitajika kwa sababu ndio inayobeba account mda wote.
 
na hiyo namba iliyotumika kufungua kama hata ni ya dubai au tanzania ndio inayohitajika kwa sababu ndio inayobeba account mda wote.

Yes, lakini mtu asiyejua anaweza kuanza ubishi kwamba “hii siyo message ya fulani” kwa sababu tu number inayoambatana na hiyo message siyo number ya huyo mtu inayofahamika (i.e., iliyoko kwenye simu)!
 
Ni kosa kuwasiliana?
Ni kosa kuwaunganisha wale makomandoo kwa kazi ya ulinzi? Hivi watu wengine mnawaza kwa kutumia nini?
 

Umuhimu wa ushahidi wa Lt Urio ni kama haupo, kwa sababu Mbowe hajawakana wale makomandoo. Labda akiwakana, which is less likely to happen!
 

"The lights are on but nobody at home"​


said to mean that although someone seems to be normal or satisfactory, they are in fact very stupid or useless
... in short kifasihi "The lights are on but nobody at home" ni matusi ya rejareja kwamba wewe ni mjinga kitu ambacho hakikuchukua muda kudhihirika kwa aliyeambiwa hivyo kucheka ovyo mahakamani kama zuzu! Kibatala nimemkubali! Biblia yumo; fasihi hadi za kimalkia yumo!
 
Anatamani aseme ukweli lakini anaogopa sababu anatokea lockup ndiyo anakuja mahakamani
 
Ni kujiamini kwa shahidi, hali hiyo imemfanya Kibatala aonekane ndiye mjinga
 
Umeandika nini?
 
Namba ipo na inaonekana lakini wanavyoulizana kiboya sana
Eti kiboya. Hujui chochote. Maswali ya mitego muda mwingine,wewe usiejua utajua ni la kiboya. Lakini mbele lina maana. Ndio maana hapo kuna namba tayari
 
Labda kwasababu Telegram sio lazima kutumia namba kuwasiliana na mtu, unaweza kutafuta username ya mhusika na kumtumia ujumbe..

Lakini lazima kuwe na numeric identification of some sort, hata namba za simu pia hutumika katika kujiunga, huyo jamaa alicheka akidhani this tym wakili ameuliza swali kimakosa kumbe yy ndio anajiaibisha zaidi…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…