Kibatala: Unafahamu hiyo namba hapo
Shahidi: naona Meseji Kwenda Kwa Mbowe tu
Kibatala: Kwani Meseji hiyo Uliyotuma hiyo Meseji Kwenda Kwa Mbowe, Je ni Namba ipi ya simu
Shahidi: Nilitumia Mtandao wa Telegram
Kibatala: Mtandao Wa Telegram Unapotumia unahitaji Mtandao
Shahidi: Ndiyo
Kibatala: Namba Uliyotumia Mtandao huo wa Telegram ni namba ipi
Shahidi anaangua kichekoo ghafla hapa.....
Kibatala: Shahidi Usicheke, Ndiyo Maana nilikwambia The Truth Shall set you Free.. Mwambie Mheshimiwa Jaji namba yako ipo au haipo
Shahidi: Haipo
Kibatala: Soma Katika Extraction Report hapo Wanasema Namba gani hiyo
Shahidi: 1130138344 DENIS OWNER
Kibatala: Namba hiyo Unaifahamu au huifahamu
Shahidi Siifahamu
Je, ni ugumu wa maswali?
Je, amekumbuka jambo?
Je, anatamani aseme jambo lakini anasita?
Je, ameona jambo la kumfurahisha nyarakani?
Karibuni great thinkers!