MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Kaka jipe tena muda kumjua IPM nahisi bado haujamjua .Tangu lini wanaume tukawa na kikao kinachotutaka tushone sare? Hili ni jambo la hovyo mno. Haina tofauti na Kitchen party galla. Mbaya zaidi kikao kilikuwa cha kuchambana na kusemana vibaya wanaume. Ikumbukwe huyu nabii feki ndo alisema ni aibu mtu kufika miaka 50 bila nyumba wala gari.
Kakamata fursa tu.Kwenye hicho kikao si kulikuwa na kiingilio au?,Kaka jipe tena muda kumjua IPM nahisi bado haujamjua .
Nadeclare interest kuwa nimemjua huyu mtu twenty years back ,kabla hajawa nabii ,tukiongozana naye kwenye makasino na sehemu zinginezo ila hiki anachokifanya ukiamua kukiangalia kwa jicho la ndani zaidi najua utajua ni nini anafanya .
Itawachukua wengi muda kumjua mtu huyu na wakija kumjua muda utakuwa umeenda kiasi kuwa mengi yatasemwa .
Nenda Judo master IPM ,nabii pekee unayeniacha hoi sensei wako hapa
Kulikuwa na kiingilio eti 50,000Kakamata fursa tu.Kwenye hicho kikao si kulikuwa na kiingilio au?,
Mkuu Victoire habari za siku ndugu yangu ?Kakamata fursa tu.Kwenye hicho kikao si kulikuwa na kiingilio au?,
Daaaa mamb ya ajabu tuTangu lini wanaume tukawa na kikao kinachotutaka tushone sare? Hili ni jambo la hovyo mno.
Haina tofauti na Kitchen party galla. Mbaya zaidi kikao kilikuwa cha kuchambana na kusemana vibaya wanaume.
Ikumbukwe huyu nabii feki ndo alisema ni aibu mtu kufika miaka 50 bila nyumba wala gari.
Yaani mwanaume aliyelipa elfu hamsini kuingia hapo,kweli hajitambui.Kulikuwa na kiingilio eti 50,000
Na kuna ndezi wamelipa
Tanzania haitaisha maajabu
Usiseme kwa sauti bwana ,watasikia hawaHahahaha,wenye waume zao waliohudhuria hicho kikao,wana wanaume jina tu.
Kwa hiyo unakubali jamaa ni nabii wa MunguKaka jipe tena muda kumjua IPM nahisi bado haujamjua .
Nadeclare interest kuwa nimemjua huyu mtu twenty years back ,kabla hajawa nabii ,tukiongozana naye kwenye makasino na sehemu zinginezo ila hiki anachokifanya ukiamua kukiangalia kwa jicho la ndani zaidi najua utajua ni nini anafanya .
Itawachukua wengi muda kumjua mtu huyu na wakija kumjua muda utakuwa umeenda kiasi kuwa mengi yatasemwa .
Nenda Judo master IPM ,nabii pekee unayeniacha hoi sensei wako hapa
Kaka unanilisha maneno wapi nimesema ni nabii wa Mungu na wapi nimesema sio nabii wa Mungu?Kwa hiyo unakubali jamaa ni nabii wa Mungu
Mkuu umesema umemfaham kabla hajawa nabii. So, unakubali jamaa sahizi ni nabii?Kaka unanilisha maneno wapi nimesema ni nabii wa Mungu na wapi nimesema sio nabii wa Mungu?
Daslam kila mtu ni nabii.Hao ni wajanja wajanja wapiga pesa za wajinga.. eti nabii, mara mtume ndio wale wale
😂🤣