Kichoitwa kikao cha wanaume chini ya nabii feki IPM kinashusha hadhi ya mwanaume

Kichoitwa kikao cha wanaume chini ya nabii feki IPM kinashusha hadhi ya mwanaume

Tangu lini wanaume tukawa na kikao kinachotutaka tushone sare? Hili ni jambo la hovyo mno.

Haina tofauti na Kitchen party galla. Mbaya zaidi kikao kilikuwa cha kuchambana na kusemana vibaya wanaume.

Ikumbukwe huyu nabii feki ndo alisema ni aibu mtu kufika miaka 50 bila nyumba wala gari.

Ukweli no aibu kuwa na miaka 50 usiwe na kitu, alafu vazi la suti ni heshima ya mwanaume
IPM nimsema kweli, nawewe humjui ndo maana unaleta hoja ya kiboya
 
Kwa hiyo hicho kikao waliwateta wanawake? Kwamba walizungumzia negative zao?
 
Tangu lini wanaume tukawa na kikao kinachotutaka tushone sare? Hili ni jambo la hovyo mno.

Haina tofauti na Kitchen party galla. Mbaya zaidi kikao kilikuwa cha kuchambana na kusemana vibaya wanaume.

Ikumbukwe huyu nabii feki ndo alisema ni aibu mtu kufika miaka 50 bila nyumba wala gari.

Halafu wanaume watakaaje vikao vya kuongelea wanaume. Hayo malalamiko wanampelekea nani? Mungu alisema na tuumbe mtu kwa mfano wetu, akamuumba binadamu akatawale dunia na vyote vilivyomo. Hakuna sehemu Mungu alisema tuumbe mwanaume ila anasema huyo mtu apatiwe msaidizi ndipo akamuumba mwanamke. Upozungumzia mtu au binadamu katika dunia hii unamzungumzia mwanaume. Hivyo haipaswi wanaume wakae kuwazungumzia wanaume wenzao, wanaume wanapaswa kuzungumzia maendeleo ya dunia hii na viumbe vilivyomo ikiwa ni pamoja na wanawake.
Hivyo vikao waachieni wanawake ambao wanapambana kuwa sawa na mtu ambaye Mungu alimuumba.
 
Ukweli no aibu kuwa na miaka 50 usiwe na kitu, alafu vazi la suti ni heshima ya mwanaume
IPM nimsema kweli, nawewe humjui ndo maana unaleta hoja ya kiboya
Naona unamtetea mumeo kwa wivu mkubwa. Hongera.
 
Back
Top Bottom