Kichoitwa kikao cha wanaume chini ya nabii feki IPM kinashusha hadhi ya mwanaume

Kichoitwa kikao cha wanaume chini ya nabii feki IPM kinashusha hadhi ya mwanaume

Tangu lini wanaume tukawa na kikao kinachotutaka tushone sare? Hili ni jambo la hovyo mno.

Haina tofauti na Kitchen party galla. Mbaya zaidi kikao kilikuwa cha kuchambana na kusemana vibaya wanaume.

Ikumbukwe huyu nabii feki ndo alisema ni aibu mtu kufika miaka 50 bila nyumba wala gari.

Wapumbavu ndio wanapenda hizo sehemu kupigwa pesa
 
Lakini kaka ukiondoa mimi kuwa mwanajamvi hili unajua kuwa napiga judo na karate ?
Wewe unataka jamaa anijue unikosanishe naye ilihali unaona leo kapiga mpunga unahisi nitakula wapi aisee ?
😀😀😀😀Mkuu si unamkubali jamaa ni Nabii?
Judo hata Muddy alikuwa anapiga si unaona hata misikitini wanapiga hizo judo na makarateka!??
 
Jamaa ana mafunzo yaliyonyooka kama rula, hana kupetipeti ni ukweli mchungu mwanzo mwisho

Anafundisha namna ya kupata hela? Kuna mwanaume haujui ukweli wa mambo au maisha?

Angechagua tabaka lakini kusema niende nikamsikilize mwanaume mwenzangu ananiambia ukweli? 😁😁😁 huo ukweli hata wazee wa kijiji naweza upata
 
Unamuita nabii feki, kwani ni nabii au ni mtu mwenye kazi 'maalumu'?
 
Kaka jipe tena muda kumjua IPM nahisi bado haujamjua .

Nadeclare interest kuwa nimemjua huyu mtu twenty years back ,kabla hajawa nabii ,tukiongozana naye kwenye makasino na sehemu zinginezo ila hiki anachokifanya ukiamua kukiangalia kwa jicho la ndani zaidi najua utajua ni nini anafanya .
Itawachukua wengi muda kumjua mtu huyu na wakija kumjua muda utakuwa umeenda kiasi kuwa mengi yatasemwa .

Nenda Judo master IPM ,nabii pekee unayeniacha hoi sensei wako hapa

Manabii wa miaka hii ni matapeli tu, wanawaambia watu wakope mahela bank wakawape wao

Muumini hata nauli hana mtume ana magorofa kila kona
 
Cha ajabu leo mnakataa eti wanaume hamkaagi vikao.

Sasa vile ambavyo huwa mnavinadi kuwa huyu hajahudhuria kikao cha wanaume huwa ni vikao gani?
 
Manabii wa miaka hii ni matapeli tu, wanawaambia watu wakope mahela bank wakawape wao

Muumini hata nauli hana mtume ana magorofa kila kona
bila kuteteresha imani, unatoaji hela kwa mtu ambaye hana uhitaji wa vitu? We huna hata baiskeli unampa hela mtu mwenye magari kukuzidi wewe kila hali, huu si ni ujinga?
 
Back
Top Bottom