Wapumbavu ndio wanapenda hizo sehemu kupigwa pesaTangu lini wanaume tukawa na kikao kinachotutaka tushone sare? Hili ni jambo la hovyo mno.
Haina tofauti na Kitchen party galla. Mbaya zaidi kikao kilikuwa cha kuchambana na kusemana vibaya wanaume.
Ikumbukwe huyu nabii feki ndo alisema ni aibu mtu kufika miaka 50 bila nyumba wala gari.
Lakini kaka ukiondoa mimi kuwa mwanajamvi hili unajua kuwa napiga judo na karate ?Mkuu umesema umemfaham kabla hajawa nabii. So, unakubali jamaa sahizi ni nabii?
Sana sana maana pesa inatafutwaDaslam kila mtu ni nabii.
😀😀😀😀Mkuu si unamkubali jamaa ni Nabii?Lakini kaka ukiondoa mimi kuwa mwanajamvi hili unajua kuwa napiga judo na karate ?
Wewe unataka jamaa anijue unikosanishe naye ilihali unaona leo kapiga mpunga unahisi nitakula wapi aisee ?
Ina maana hata mie ni nabii😂Daslam kila mtu ni nabii.
Jamaa ana mafunzo yaliyonyooka kama rula, hana kupetipeti ni ukweli mchungu mwanzo mwisho
kama huamini kula konaMleta mada leta picha za hicho kikao.
Binti kwani wewe ndio mleta mada? Mimi nimemuomba picha mleta mada,kama huamini kula kona
Nabii gani kutwa kuranda randa na wasiojulikanaDaslam kila mtu ni nabii.
Bado nabii mimi, nitaruhusu kuoa mke zaidi ya mmoja, kwangu bangi ruksa, tunalipuliza ndio tunaingia kusali.Daslam kila mtu ni nabii.
Kaka jipe tena muda kumjua IPM nahisi bado haujamjua .
Nadeclare interest kuwa nimemjua huyu mtu twenty years back ,kabla hajawa nabii ,tukiongozana naye kwenye makasino na sehemu zinginezo ila hiki anachokifanya ukiamua kukiangalia kwa jicho la ndani zaidi najua utajua ni nini anafanya .
Itawachukua wengi muda kumjua mtu huyu na wakija kumjua muda utakuwa umeenda kiasi kuwa mengi yatasemwa .
Nenda Judo master IPM ,nabii pekee unayeniacha hoi sensei wako hapa
bila kuteteresha imani, unatoaji hela kwa mtu ambaye hana uhitaji wa vitu? We huna hata baiskeli unampa hela mtu mwenye magari kukuzidi wewe kila hali, huu si ni ujinga?Manabii wa miaka hii ni matapeli tu, wanawaambia watu wakope mahela bank wakawape wao
Muumini hata nauli hana mtume ana magorofa kila kona