SHERRIF ARPAIO
JF-Expert Member
- Aug 25, 2010
- 9,539
- 5,919
Ndio mambo kuchanganya; kuna mahali popote nimewahi kuhoji lengo la Membe kugombea Urais kupitia CCM au kuchukua fomu? Mbona hata siyo la kustahili kujadiliwa?
Havunji Katiba kwa vile unasema kavunja. Labda ufafanue ni wapi amevunja Katiba?Wewe mtu hujui maana ya katiba na muongozo wa kanuni za taasisi ya umma. Umeandika hovyo hovyo mawazo ya kijinga ili yule mtu akuone. Mumeshaujua udhaifu wake imebaki kazi kwenu kujito ufahamu na kuweka akili pembeni. Kabla hujaandika madudu humu uwe unajiridhisha kwanza!
Sasa nakueleza. Magufuli kwa kuteua CAN mpya kavunja katiba ya nchi mchana kweupeee. Na hata tafsiri sahihi ya maneno yaliyopo kwenye kanuni zinazoongoza ofisi ya CAG hajaielewa achilia mbali kama tutajielekeza kwenye kanuni na kuitupa katiba kama yeye alivyofanya.
Tuache tumalizie weekend, haya maswali magumu magumu hayafai na weekend hiiMimi swali langu ni hili mmk. Ikiwa kichere alitumbuliwa kwa kejeli kuwa hajui kazi yake huko tra. Leo hii kumuweka kuwa cag inamaana ameshajua kazi yake?
Unajuaje kuwa nalijua. Membe akitaka kugombea achukue fomu tu, mbona CCM ina demokrasia yao. Mbona nani yule alikuwaga CCM naye alichukua fomu ya kugombea Urais dhidi ya Kikwete au mmesahau?Usijitoe ufahamu! Unalijua hili kwa mapana na marefu
Hawa si ni wabunge?Watu hawana ajira kila siku mnalalamikia wazee wapumzike.
Leo kapumzishwa kipenzi chenu, mmesahau kilio cha ajira kwa vijana.
Sasa mlitaka hadi atembelee mkongojo kwa sababu mnampenda?!
Wapo wanaostaafu kwa hiyari, msikalili miaka 60.
Binafsi napendekeza ange mstaafisha Mkuchika, Kamwelwe na akipendezwa zaidi naye astaafu, awapishi na wengine.
Havunji Katiba kwa vile unasema kavunja. Labda ufafanue ni wapi amevunja Katiba?
Halafu cag mwenyewe hana hata cpa..Mimi swali langu ni hili mmk. Ikiwa kichere alitumbuliwa kwa kejeli kuwa hajui kazi yake huko tra. Leo hii kumuweka kuwa cag inamaana ameshajua kazi yake?
Tuwekee hapa hizo kanuni zinazoongoza ofisi ya CAG tujisomee...!!!Sasa nakueleza. Magufuli kwa kuteua CAN mpya kavunja katiba ya nchi mchana kweupeee. Na hata tafsiri sahihi ya maneno yaliyopo kwenye kanuni zinazoongoza ofisi ya CAG hajaielewa achilia mbali kama tutajielekeza kwenye kanuni na kuitupa katiba kama yeye alivyofanya.
Anatakiwa kuwa na CPA?Halafu cag mwenyewe hana hata cpa..
Yaan hata mm namshinda
Mkuu, siia nikueleweshe: Kanuni zinatamka wazi kuwa CAG anaweza kupewa awamu ya pili ya uongozi. Hili limetamkwa wazi kwenye kanuni ili kuilinda katiba. Waliotunga hizi kanuni walikuwa na lengo kuwa katiba isivunjwe.Havunji Katiba kwa vile unasema kavunja. Labda ufafanue ni wapi amevunja Katiba?
Hapana sijui; sababu za kutokuongezewa muda zimetolewa kwenye taarifa kwa vyombo vya habari. Kuna jingine?Professionals hawaandiki titles za kimtaani kama hivyo! Acha kuleta siasa, hata wewe unajua sababu za kutokuongoezewa kwake muda
Mkuu, siia nikueleweshe: Kanuni zinatamka wazi kuwa CAG anaweza kupewa awamu ya pili ya uongozi. Hili limetamkwa wazi kwenye kanuni ili kuilinda katiba. Waliotunga hizi kanuni walikuwa na lengo kuwa katiba isivunjwe. Katiba unataka wazi kuwa CAG atastaafu akifikisha miaka 6a. Hiyo ndiyo sheria mama na ukienda kinyume ni unavunja katiba Ni sawa na katiba inavyosema kuwa mtu atagombea urais wa JMT iwapo atatimiza miaka 40 kisha CCM ije na kanuni zake za mgombea awe na miaka 35 na kisha tufuate kanuni za CCM kwa vile tu ni chama tawala
Wabunge hawazeeki?!Hawa si ni wabunge?
Mwanakijiji hujasoma sehemu inayosema mtu aliyewahi kuwa CAG HARUSIWI KUFANYA KAZI NYINGINE YA UMMA??