Kichuguu si Mlima CAG: Chuki Dhidi ya Magufuli imewatoa ufahamu sasa?

Umejitahidi lkn mbona kila siku simba chawine hakuna mwengine
 
Mimi swali langu ni hili mmk. Ikiwa kichere alitumbuliwa kwa kejeli kuwa hajui kazi yake huko tra. Leo hii kumuweka kuwa cag inamaana ameshajua kazi yake?
Thank you my sister, what a good question is that, truth is, if he could not perform at tra how on earth can he be able to audit the gava?????
 
asante sana mkuu, watu wengine hata hawana akili hata kidogo, ukitafusiri katiba, ni wazi kuwa CAG, atahudumu miaka 5 kisa kaa hajafikisa miaka 60 ateuliwe kwa kipindi kingine cha miaka 5 na hicho kipindi kiwe cha mwisho, hata kaa hio maadishi ya ateuliwe kwa miaka mingine 5 katika katiba kaa hajafikisha miaka 60, anasitahili kupewa miaka ingine 5, sasa huyu aliyeteuliwa kaa TRA ilimushinda, je ataweza kuaudit the whole gorverment???? ni wajinga tu ambao hawaoni ya kuwa magufuli amevuja sheria
 
Nimekuelewa lakini hapa lengo ni kutengeneza mazingira ya "plunder with impunity"

Huyu Jiwe ana operate na oligarchy yake iliyo royal kwake. Tukubali tulikosea kumpa nchi atawale, tusubiri the worst to come from him hadi aje atoke ofcn.
thanks sir for seeing what these ccm idiots cant see, magufuli only intrest is to plunder this country to the last cent
 
Hapa kuna issue ya Magufuli kupanga timu yake ili afanye anachotaka bila ukaguzi. Mfano ni ATCL.

Hakuna issue ya katiba.

Ukiingiza hoja ya katiba, hakuna sehemu ambapo katiba inamkataza Magufuli kubadilisha CAG baada ya CAG kumaliza kipindi chake cha miaka mitano.

Kama una sehemu ya katiba inayoelezea hilo, iweke hapa tuijadili.

Zaidi, fungua kesi mahakamani useme Magufuli kavunja katiba.

Kuna tofauti kati ya Magufuli kutumia mbinu za kisheria kufanikisha nia yake mbaya na Magufuli kuvunja katiba.

Hapa kwenye kumtoa CAG, Magufuli anetumia mbinu zinazoruhusiwa na katiba, hata kama nia yake inaweza kuwa mbaya.

Tatizo linakuja, kisheria kuthibitisha nia mbaya ni kitu kigumu sana.
 
Thanks sir, uwe na a blessed week ahead
 

Sasa mimi mzee Kichuguu nimeingiaje hapa kwenye mambo ya CAG aliyekuwa hajui kazi zake akidhani kuwa naye ni mwanasiasa badala ya kuwa mtaalam kwa kukagua mahesabu ya serikali akaaza kuwa anaitisha press conference kupambana na Bunge? Ikafikia mahesabu ya serikali yakawa politicized na kufanya baadhi ya watendaji wasiwe na imani nayo tena? Mimi ni kichuguu tu; mchwa na nguchiro ndio wangu siyo hao maCAG wababaishaji.

Waswahili tunadhani kuwa kwa vile Assad ni profesa basi yeye ni zaidi kwa kila jambo kumbe tunasahau siku hizi Tanzania kuna maprofesa wengi sana wa kuokotezaokoteza tu. Kuna profesa mmoja wa chuo kimoja Tanzania ambaye huwa namsikia sana akihojiwa kwenye vyombo vya habari lakini jamaa yule alinunua digrii ya Ph.D huko PWU baada kushindwa Ph.D halali huko Norway.
 
Sasa mimi mzee Kichuguu nimeingiaje hapa kwenye mambo ya CAG

Aisee tena nilikuwa nimekuwazia kabisa tu... yaani, kinachoendelea hadi wakati mwingine inaudhi. Ndio maana nimesema watu wengine wamejitoa "ufahamu" kabisa ilimradi waonekane wamempinga Magufuli na kuonesha kuwa wao wanajua.
 
Atarudi University of Dar es salaam Business School kuendelea na majukumu ya kitaaluma.
 
Ghoosh!!!!
 
Mwanakijiji kama si Mtanzania vile eti watanzania waamue 2015 kwani wananchi hawakuamua Zanzibar toka 1995 wananchi hawakuamua?hivi hata mlio nje pia mnaka teuzi nchi hii ina wanafiki balaa
Nyie ishini kwa kufikiria uteuzi. Hivi ukiitwa kulitumikia taifa lako utakataa? Nani atalitumikia basi?
 
Hoja nzima ya Mwanakijiji, kiuhalisia, imekosa mantiki. Hakuwa na hoja yoyote ya kuandika ila nadhani anaamini kuwa ni lazima aandike hata asipokuwa na cha kuandika.
Unatakiwa kuonesha ni wapi hakuna mantiki. Ni wapi nilipokosea kwenye mantiki ili nipasahihishe au nikubali kuwa mantiki yangu haikufuata udhanifu.
 
Lakini pamoja na hayo bado elimu haitoshi sana kupewa U-CAG ,kigezo cha CPA kisengetosha kumpatia hicho cheo ,angalau angekuwa na PhD kidgo...any way hatuwezi kuhoji sana uteuz wa RAIS ila tumtakie Kaz njema .
 
Aisee tena nilikuwa nimekuwazia kabisa tu... yaani, kinachoendelea hadi wakati mwingine inaudhi. Ndio maana nimesema watu wengine wamejitoa "ufahamu" kabisa ilimradi waonekane wamempinga Magufuli na kuonesha kuwa wao wanajua.
Issue ya katiba au kuondolewa kwa Assad kabla ya muda ni irrelevant. Issue hapa ni kuchaguliwa mtu ambaye inaonekana kabisa hakuqualify kutokana na mambo aliyoyafanya huko TRA. Kwa hiyo, ni kama anafanyiwa favour na Magu, je ni nini ataenda kukifanya zaidi ya kulinda ufisadi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…